TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Unataka niwataje wengine walio ishi kama yeye

Yaani unamaanisha waliojilimbikizia mali kwa kuiba jasho la wengine?

Au walioshi kama yeye kwa maana ya kutumia nafasi yake kuzima ndoto za watu?

Au unataka niwataje walioishi kama yeye kwa maana ya mahusiano?

Unata nitaje kipi hasa hebu niambie vizuri
Amejilimbikiza jasho La nani ...ukimtaja njoo na ushahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona karimjee hawakuwepo viongozi wa kanisa katoliki alikuwepo Bulldozer mwamposya iweje huko kwa nshomile kanisa katoliki lihusike?
.
Nina wasiwasi nguvu ya fedha inatumika maana Rugemalila alikacha kuhudhuria kanisani na kufuata mambo ya dunia.
 
Unahisi ndio atafufuka? Wakifanya ivyo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huo wivu unatoka wapi?tayari ni marehemu,unafikiri yanayotendeka huku yanamnufaisha na chochote?wivu hauhusiki hapa ila nataka kumfahamu zaidi,maana mazishi yake ni makubwa na nimesikia mwili wake umebebwa na ndege ya serikali kutoka dar mpaka Bukoba
Unamuonea wivu mpaka marehemu!!Timu Dai mnakazi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Wivu Hadi kwa Marehemu? We kilichokukera Nini ilihali waliosifia wamefanya hivyo kwa Utashi wao? Umekuwa Nani wa kuingilia Uhuru wa Watu kumsifia Ruge? Labda nikujibu kwa ufupi ili wivu wako upungue usije ukakusababishia UGONJWA wa Moyo.
1. Tamasha la Fiesta: pamoja na waliopata ajira ya kuburudisha, wapo pia waliofaidi kwa kuburudika. Yaani Ruge aliwapelekea Burudani ambayo wasingeweza kuifuata ilipo. Katika Tamasha Hilo, wapo waliouza maji, biscuits, mishikaki, chips, soda, vilevi, n.k. Pato walilolipata liliwasaidia familia, ndugu, jamaa na marafiki. Hii pekee imewafikia watu wengi unaowaona wanaomboleza.
2. THT, imeibua vipaji ambavyo vimesaidia kuongeza Pato la Taifa kupitia Sanaa! Sehemu ya Pato Hilo imetumika katika huduma za Jamii ambazo hata wewe na ndugu zako mmezitumia.
3. Malkia wa Nguvu + Kipepeo + Tamasha la Fursa: Wanawake na Vijana wameweza kupata Jukwaa la kuziona na kuzitambua fursa kadhaa wa kadha, na kwa kufanya hivyo impact Yake imeifikia Jamii.
So, wewe Kama ulitaka ukae hapo nyumbani kwa Shemeji yako kila kitu unakipata kwa Shikamoo halafu Ruge aje akuletee au akusaidie, utakuwa beyond MPUMBAV.U! Kama Jamii itashindwa ku appreciate hicho alichokifanya Ruge, itakuwa Jamii ya Hovyo kabisa (Bahati nzuri wamekuwa na Shukrani kwake na wameonesha katika msiba huu).
Mimi Binafsi sijawahi hata kukutana nae, na Kuna kipindi nilikuwa against baadhi ya Mambo anayofanya, lakini haikuondoa Mimi kujifunza Mambo mbalimbali kutoka kwake na namna Jamii ilivyoguswa kwa kadiri alivyoweza.

Swali kwako, WEWE UMEFANIKIWA NINI KATIKA JAMII? MCHANGO WAKO NI UPI? UTAACHA LEGACY GANI? (Nakuweka katika kundi ambalo litakuwa limehusika na mauaji ya Ruge (Kama inavyodaiwa) na mnajitahidi kuponda ili nafsi zenu zipate ahueni)

Sent using Jamii Forums mobile app
Maandiko yooote hayo likes mbili tu? Means ulichoandika ni unafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hauoni kodi yako imetumika hapo na unapaswa kuhoji?
Huo wivu unatoka wapi?tayari ni marehemu,unafikiri yanayotendeka huku yanamnufaisha na chochote?wivu hauhusiki hapa ila nataka kumfahamu zaidi,maana mazishi yake ni makubwa na nimesikia mwili wake umebebwa na ndege ya serikali kutoka dar mpaka Bukoba

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi Ruge namfahamu kama mkurugenzi wa vipindi vya clouds,sifa yake kubwa labda ni kuanzisha fiesta na kuisimamia pamoja na hayo tumesikia vimaneno kutoka kwa sugu,jay dee na baadae diamond,sijajua alikua na wadhifa gani maana nimeona mazishi yake yamehudhuriwa na maraisi wote wawili,mawaziri wakiongozwa na waziri mkuu,mkuu wa mkoa wa dar es salaam,viongozi wa dini na kila aina ya public figure,kwa kumfahamu kwangu kudogo naona kama kawa overated,kwa wanaomfahamu vizuri naomba wanifumbue macho what am i missing about this guy.RIP RUGE.

Sent using Jamii Forums mobile app
nenda kaulize google mkuu.
 
Acheni kuimba wimbo kwa mkumbo tuambieni alichowafanyia marehemu Ruge mpaka kumpa sifa si zake.

Acheni kukufuru, acheni kujipendekeza, hata Mungu hawaelewi kwann mnampa sifa ambazo si zake!

Binafsi namuona Ruge ni mfanyabiashara kama Dialo au Mama Rwakatare maana wote ni wajasiriamali.

Kama huna alichokufanyia na bado unamsifia basi kwenye kundi la wanafiki nawewe umo.

Eti kaka wa Taifa hata aibu hamuoni? Labda mngesema kaka wa clouds.
punguza jazba maisha mafupi mkuu.
 
Mbona karimjee hawakuwepo viongozi wa kanisa katoliki alikuwepo Bulldozer mwamposya iweje huko kwa nshomile kanisa katoliki lihusike?
.
Nina wasiwasi nguvu ya fedha inatumika maana Rugemalila alikacha kuhudhuria kanisani na kufuata mambo ya dunia.
acha kuishi kwa kuhisi mkuu Ruge ni Mkristo Mkatoliki lazima kanisa lake limzike, hajawahi kuasi kanisa lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi Ruge namfahamu kama mkurugenzi wa vipindi vya clouds,sifa yake kubwa labda ni kuanzisha fiesta na kuisimamia pamoja na hayo tumesikia vimaneno kutoka kwa sugu,jay dee na baadae diamond,sijajua alikua na wadhifa gani maana nimeona mazishi yake yamehudhuriwa na maraisi wote wawili,mawaziri wakiongozwa na waziri mkuu,mkuu wa mkoa wa dar es salaam,viongozi wa dini na kila aina ya public figure,kwa kumfahamu kwangu kudogo naona kama kawa overated,kwa wanaomfahamu vizuri naomba wanifumbue macho what am i missing about this guy.RIP RUGE.

Sent using Jamii Forums mobile app

Serikali imeifadhaisha sana Tanzania na najuwa tu majirani zetu wanatucheka kishenzi. Ruge was a nobody katika nchi yetu, sana sana jamaa alikuwa mtu wa entertainment tu nothing else. Mademu wengi waliokuwa wanamlilia ni wale wale aliokuwa anawachapa kavu kavu na kuwaambukiza ule ugonjwa. Sisemi kwa mabaya ila inapobidi kusema ukweli ni bora kuusema tu ili watu wajuwe.
 
Soon utaujua ukweli mbona hakuna aliyetarajia kuwa semausikike ni recho. OG ni mange basi tu huko live anaazima mtu kuua soo. Hata kama ni mfuasi sio vile

Mange kamchukia tununu same to OG. Adui woooteee wa mange ni adui wa OG pia.

Kumsupport nandy ni mkakati wa muda tu nae atamgeuka pale asipotimiza akitakacho
Huvi huyu OG ndio nani[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna demu mmoja alituchekesha sana eti 'mpendwa' wetu akiwa hai, akiwa anaku.....mba, anakwambia " mage nime...mba vizuri eeh, umefurahia eeeh? Basi nizalie mtoto[emoji23]" with that sweet tongue unashusha engine!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]na wao wanabeba kweli mimba majingaa hayooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom