KAYABOMBICHI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 296
- 142
SASA UNATESEKA NA NINI LABDA KWAMFANO??Huo wivu unatoka wapi?tayari ni marehemu,unafikiri yanayotendeka huku yanamnufaisha na chochote?wivu hauhusiki hapa ila nataka kumfahamu zaidi,maana mazishi yake ni makubwa na nimesikia mwili wake umebebwa na ndege ya serikali kutoka dar mpaka Bukoba
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app