Amejilimbikiza jasho La nani ...ukimtaja njoo na ushahidiUnataka niwataje wengine walio ishi kama yeye
Yaani unamaanisha waliojilimbikizia mali kwa kuiba jasho la wengine?
Au walioshi kama yeye kwa maana ya kutumia nafasi yake kuzima ndoto za watu?
Au unataka niwataje walioishi kama yeye kwa maana ya mahusiano?
Unata nitaje kipi hasa hebu niambie vizuri
Nikuulize pleaseYall now warking and barking dogs....!!
Why'd y'all too concerns w'others business!!
Smh
Sent using Jamii Forums mobile app
Maandiko yooote hayo likes mbili tu? Means ulichoandika ni unafikiDah! Wivu Hadi kwa Marehemu? We kilichokukera Nini ilihali waliosifia wamefanya hivyo kwa Utashi wao? Umekuwa Nani wa kuingilia Uhuru wa Watu kumsifia Ruge? Labda nikujibu kwa ufupi ili wivu wako upungue usije ukakusababishia UGONJWA wa Moyo.
1. Tamasha la Fiesta: pamoja na waliopata ajira ya kuburudisha, wapo pia waliofaidi kwa kuburudika. Yaani Ruge aliwapelekea Burudani ambayo wasingeweza kuifuata ilipo. Katika Tamasha Hilo, wapo waliouza maji, biscuits, mishikaki, chips, soda, vilevi, n.k. Pato walilolipata liliwasaidia familia, ndugu, jamaa na marafiki. Hii pekee imewafikia watu wengi unaowaona wanaomboleza.
2. THT, imeibua vipaji ambavyo vimesaidia kuongeza Pato la Taifa kupitia Sanaa! Sehemu ya Pato Hilo imetumika katika huduma za Jamii ambazo hata wewe na ndugu zako mmezitumia.
3. Malkia wa Nguvu + Kipepeo + Tamasha la Fursa: Wanawake na Vijana wameweza kupata Jukwaa la kuziona na kuzitambua fursa kadhaa wa kadha, na kwa kufanya hivyo impact Yake imeifikia Jamii.
So, wewe Kama ulitaka ukae hapo nyumbani kwa Shemeji yako kila kitu unakipata kwa Shikamoo halafu Ruge aje akuletee au akusaidie, utakuwa beyond MPUMBAV.U! Kama Jamii itashindwa ku appreciate hicho alichokifanya Ruge, itakuwa Jamii ya Hovyo kabisa (Bahati nzuri wamekuwa na Shukrani kwake na wameonesha katika msiba huu).
Mimi Binafsi sijawahi hata kukutana nae, na Kuna kipindi nilikuwa against baadhi ya Mambo anayofanya, lakini haikuondoa Mimi kujifunza Mambo mbalimbali kutoka kwake na namna Jamii ilivyoguswa kwa kadiri alivyoweza.
Swali kwako, WEWE UMEFANIKIWA NINI KATIKA JAMII? MCHANGO WAKO NI UPI? UTAACHA LEGACY GANI? (Nakuweka katika kundi ambalo litakuwa limehusika na mauaji ya Ruge (Kama inavyodaiwa) na mnajitahidi kuponda ili nafsi zenu zipate ahueni)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ni kazi tu ndo ruge, hata makamba na Nape wamesemaMkuu Mbona week iliopita kabla ya msiba January Makamba alipost Kwamba HAPA KAZI TU lilikuwa modereted na Diamond View attachment 1037498
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo wivu unatoka wapi?tayari ni marehemu,unafikiri yanayotendeka huku yanamnufaisha na chochote?wivu hauhusiki hapa ila nataka kumfahamu zaidi,maana mazishi yake ni makubwa na nimesikia mwili wake umebebwa na ndege ya serikali kutoka dar mpaka Bukoba
Sent using Jamii Forums mobile app
nenda kaulize google mkuu.Binafsi Ruge namfahamu kama mkurugenzi wa vipindi vya clouds,sifa yake kubwa labda ni kuanzisha fiesta na kuisimamia pamoja na hayo tumesikia vimaneno kutoka kwa sugu,jay dee na baadae diamond,sijajua alikua na wadhifa gani maana nimeona mazishi yake yamehudhuriwa na maraisi wote wawili,mawaziri wakiongozwa na waziri mkuu,mkuu wa mkoa wa dar es salaam,viongozi wa dini na kila aina ya public figure,kwa kumfahamu kwangu kudogo naona kama kawa overated,kwa wanaomfahamu vizuri naomba wanifumbue macho what am i missing about this guy.RIP RUGE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kujua unafiki wetu subiri wakati wa msiba wa mmoja wetu,Maandiko yooote hayo likes mbili tu? Means ulichoandika ni unafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
punguza jazba maisha mafupi mkuu.Acheni kuimba wimbo kwa mkumbo tuambieni alichowafanyia marehemu Ruge mpaka kumpa sifa si zake.
Acheni kukufuru, acheni kujipendekeza, hata Mungu hawaelewi kwann mnampa sifa ambazo si zake!
Binafsi namuona Ruge ni mfanyabiashara kama Dialo au Mama Rwakatare maana wote ni wajasiriamali.
Kama huna alichokufanyia na bado unamsifia basi kwenye kundi la wanafiki nawewe umo.
Eti kaka wa Taifa hata aibu hamuoni? Labda mngesema kaka wa clouds.
acha kuishi kwa kuhisi mkuu Ruge ni Mkristo Mkatoliki lazima kanisa lake limzike, hajawahi kuasi kanisa lake.Mbona karimjee hawakuwepo viongozi wa kanisa katoliki alikuwepo Bulldozer mwamposya iweje huko kwa nshomile kanisa katoliki lihusike?
.
Nina wasiwasi nguvu ya fedha inatumika maana Rugemalila alikacha kuhudhuria kanisani na kufuata mambo ya dunia.
Una kiwango gani Cha Elimu?naomba nipate mchanganuo mkuu kuhusu kodi wanayolipa, na imechangia vipi maendeleo ya ndani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi Ruge namfahamu kama mkurugenzi wa vipindi vya clouds,sifa yake kubwa labda ni kuanzisha fiesta na kuisimamia pamoja na hayo tumesikia vimaneno kutoka kwa sugu,jay dee na baadae diamond,sijajua alikua na wadhifa gani maana nimeona mazishi yake yamehudhuriwa na maraisi wote wawili,mawaziri wakiongozwa na waziri mkuu,mkuu wa mkoa wa dar es salaam,viongozi wa dini na kila aina ya public figure,kwa kumfahamu kwangu kudogo naona kama kawa overated,kwa wanaomfahamu vizuri naomba wanifumbue macho what am i missing about this guy.RIP RUGE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huvi huyu OG ndio nani[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Soon utaujua ukweli mbona hakuna aliyetarajia kuwa semausikike ni recho. OG ni mange basi tu huko live anaazima mtu kuua soo. Hata kama ni mfuasi sio vile
Mange kamchukia tununu same to OG. Adui woooteee wa mange ni adui wa OG pia.
Kumsupport nandy ni mkakati wa muda tu nae atamgeuka pale asipotimiza akitakacho
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]na wao wanabeba kweli mimba majingaa hayoooKuna demu mmoja alituchekesha sana eti 'mpendwa' wetu akiwa hai, akiwa anaku.....mba, anakwambia " mage nime...mba vizuri eeh, umefurahia eeeh? Basi nizalie mtoto[emoji23]" with that sweet tongue unashusha engine!
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha amwagiwe sifa, Ruge ana mchango kubwa Kwa Taifa na hasa Kwa vijana.