TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Yes kwa kazi ya nje alikuwa Mkurugenzi. Huwezi ukawa Mkurugenzi wa media kubwa kama Clouds,na pia mwadilifu, halafu sytem ya nchi ikakuacha ufanye kazi hiyo tu, watakuwa wanaku-underutilize. Lazima alikuwa na kazi nyingine kwa ajlili ya manufaa ya Nchi.
 
Ni kutoelewa tu ibada ya mazishi huwa siyo kwa ajili ya marehemu maana yeye hajui chochote wala haimuongezei wala kumpunguzia chochote maana hesabu zake zinakuwa zimeshafungwa badala yake ibada huwa ni mahususi kwa ajili ya waombolezaji kuwakumbusha kutafakari njia zao na kumrudia Muumba wao kwa kuachana na mambo ya dunia hii yanayopita upesi ili pale nao watapopitia hali ya marehemu wawe wamelala katika tumaini

Tena kwa audience kama ya Ruge ndiyo mahali sahihi pa kuwatandika ole za kutosha maana hapo unawapata wote ambao hata mlango wa kanisa hawaujui sehemu kama hiyo ndiyo unawapatia na kuwakumbusha vyema na unakuwa umezipata na kuokoa roho nyingi.
 
Lissu ndio kaka wa taifa, hakuna pimbi mwingine.
 
Mtaje aliyedhurumiwa kwa ushahidi wa wazi sio maneno

Sent using Jamii Forums mobile app

Yale yale nimetoka kukwambia hapo juu,

Toka lini mwizi anayejitambua akaacha alama?

Mwamba alikuwa haachi alama thus why walioibiwa wanaishia kulalamika

Ni wengi walioibiwa sio mmoja au wawili

Majani kawasema hawa watu mapema hata kabla ya msiba

Hakuna anayefurahia mwamba kuondoka ila tusikize sana haya mambo.
 
Nakushauri utumie jicho la tatu kuona zaidi ya kile unachokijua kuwa alifanya, na kama huna jicho hilo kaa kimya!
 
Siku Mtoto wa Ruge aumwee halafu aanze kupita kuomba msaada kwa wale wote walioenda kwenye msiba kuanzia viongozi wa Juu ndio utajua kama Ruge alikuwa na Ndugu wa kweli au Wanafikii

nimeshashuhudia Misiba ikijaza lakini baada ya Kuzika watoto wa marehemu Wanasahulika kama Upepoooo hata wakiomba Msaada Utasikia Baba yenu Ane alikuwa wapi kuwekezaa
 
Kama serikali imemtambua na kumpa heshima yote wewe n nan!?
Hivi mpaka karne hii ya 21 kuna watu wenye akili mgando kama zako?

Eti kama "serikali imekubali".....yani akili za mtu mwenywe phd ya maganda ya korosho ndo zinakua kama ni dira na kioo cha maisha yako????

Dude!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…