TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Mimi kama mkristo mwenzako mbona sijaona ambapo amehusisha dini? Usiwe na mhemko wa namna hiyo mtumishi
 
Ila nyie wakina warumi wanafki sana, yaani mmezoea mtu mpaka ampost marehemu insta ndio aonekane ameumizwa kinyume na hapo amefurahia kifo.

Haya dada wa watu huyo, napo mtasema kwanini hajavaa nguo nyeusi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hamchelewi kusema na marehemu nae aliingizwaga mjini pale jangidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ndio walikuwa wanachangisha fedha za matibabu? Tuna ujinga mwingi sana kicwhani na kufuru.

Tuna watu wanateseka bila msaada, tunatoa kuwachangia wenye nazo wafe na kuzikwa kwa MISIFA
 
Poleni sana team roho mbaya si mmeona jinsi jamaa ambavyo kapokelewa kishujaa na raia eeeeh!!? Au mnadhani wale waliokua wanakutwa barabarani wakati wa msafara walipangwa??? Yale ni mapenzi tu ......mjifunze kufanya vitu kwa ajili ya wengine roho mbaya haijengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa za wadau zinasema hajaenda walikutana airport dar kisha yeye kashukia Kilimanjaro
Duh

Yaani watu wanataka dunia nzima ifate watakacho!

Wamempa pressure dada watu mpaka ka-cave in....Huu ni uuaji na haufai kibinadamu!

Muacheni mtu awe na uhuru wake,hamna mtu anajua Ruge kamkosea kiasi gani!

This is uncalled for!
 
Nataka kukufollow insta unatumia jina gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…