TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Mmabo ya misa takatifu sijui kuzikwa na Askofu...zote ni mbwembwe tu! hautaulizwa hilo swali siku ya mwisho!
 
Na wao wanakiri kuwa ni wadhambi! Na hawapo tayari kutubu hata kwa mtutu wa bunduki!!
Mwisho wao unakuwaje mkuu; Watu wengi mwisho wao huenda wakaweza kutengeneza, May be wakati anaugua hata kama hazungumzi kumbuka Mtu anaweza kuzungumza na Mungu pasipo hata kufungua Kinywa chake;

Kama kuna mahali Mungu aliweka siri nzito Basi ni kwenye Siku ya Kufa na Ukifa unaenda wapi
 
Acha mahaba na Ruge, huyu alizaa nje ya ndoa, hawezi in Catholic kusomewa misa na padre, maana ana dhambi ya kuzini iliyo wazi kwa waumini! hata huyo katekista ni funika kombe mwanaharamu apite!
 
Pamoja na kukimbizana na maisha ya kila siku ndugu zangu kushiriki Jumuiya ni muhimu kwa kila Mkatoliki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena wamefanya kusitiri,na huenda kateksta amejiiba atafungiwa kama hakupewa ruhusa;kama hushiriki unazikwa kama Kuku,duh ngonja niwahi kitubio na kupata sakramenti
kwa sababu hakufunga ndoa na amezaa watoto bila ndoa , pia alikuwa hashiriki sakalementi za kanisa na visakalamenti vyake huwa hivyo na wakati mwingine hawafanyi kitu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-1.Usiingize karma wakati issue ni christianity
-2.Afadhali yaliyomkuta Ruge amepata katekista kuliko yalimkuta tajiri wa ngurudoto(waligoma kumzika kisa ushiriki wake kanisani)
Kati ya Karma na Christianity imetangulia nini?. Kwa taarifa tuu, karma iko kwenye Hinduism na Buddhism, ukilinganisha na Chiristianity, Ukristo ni dini ya juzi.

Kwenye Bible, karma imezungumzwa sana, hata meditation pia imo.
Mungu ni yule yule despite the different names.
P
 
"bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo."


Hapa umesema sio matendo yanatupeleka Mbinguni bali ni neema

"Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani"

Chini hapo ukasema kwa aliyo watendea watu Ruge ameingia peponi .

Mzee baba leo kwa hizi theory zako umeniacha kwenye mataa au sijui njia panda ya Mfugale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…