TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Mtume Pasco,

Mimi ni mumini wa kanisa katoliki, kanisa kuna Sanam za bikria Maria naYesu kadhalika sala ya mama Maria utuombee sisi wanao! na kuna swala la kumuungamia Padri hili limekaaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu aliwapa watu (mapadri) amri/uwezo ya kusamehe dhambi kwa njia ya nani? Ni halali kuungama kwa padre?
Mungu aliwapa watu amri ya kusamehe dhambi kwa njia ya Mwanae. Yesu mfufuka aliwaonyesha Mitume alama ya mateso mwilini mwake, β€œakawavuvia, akawaambia, β€˜Pokeeni Roho Mtakatifu. Wowote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa; na wowote mtakaowafungia dhambi, wamefungiwa” (Yoh 20:22-23). Katika Kanisa tunafurahi kupewa msamaha wa dhambi kila tunapohitaji, mradi tutubu. Kwa njia ya mwandamizi wa Mitume, Yesu anatuambia, β€œUmesamehewa dhambi zako… Imani yako imekuokoa, enenda zako kwa amani” (Lk 7:48,50). Si dhana wala hisia tu, bali ni neno la hakika tunalolipokea kwa masikio yetu.
 
believers /religious fanatics are lazy and mental retarded...
Mijitu mizima humu jukwaani mnajadili pepo na jehanam vitu vya kufukirika fantasy..
Hakuna mungu kanisani/msikitini acheni uvivu wakufikiria na kupembua mambo mliyo karirishwa..

Tunasali ili,
1. Kumwabudu Mungu
2. Kumshukuru Mungu
3. Kuomba neema na baraka kwa ajili yetu na wenzetu
4. Kuomba Msamaha
 
Yani ww inaonekana Afisa wa Serikali akikuomba Boga lazima utampa maana inaonekana serikali ikisema kitu ni sahihi....

Goodlucky

Huo n muono wako
Siko serikalin na wala sijawah ipenda hii serikal lakn pa kusemwa lazma pasemwe

Nimejifunza kitu kutoa n moyo na wala sio utajiri na unapomsaidia mtu usimtangaze
Fanya kimya kimya...
RIP RUGE


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haijalishi imeongozwana nani issue ni mahusiano yake na Mungu, hilo li mwili halins issue

sent using...tecno wereva[emoji23]
 
Huu jamaa kabla ya umauti hata robo ya watanzania walikuwa hawamjui baada ya umauti wanatumia NGUVU nyingi kulazimisha watu wa mjue!
Clouds naomba ife tu na mkitoka msibani kuanza kudeal na wasanii ambao jawajapost huo msiba.
Hawafosi watu wamjue on top of that huenda ww ndo humjui na ndugu zako wengine mnaoish mangwangwa huko.
 
Hata Mimi nashangaa, mama mzima anaitwa baby as if walikosa majina.


Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wengine nawafahamu mmoja anaitwa 'Candy' kuna 'wolfgang' na 'Eugene' ni majina yao mpaka kwenye vyeti!!..
Halafu huyo sidhani ni baby itakuwa 'Babie' ila matamshi mnasikia baby. Kuna wazazi wajanja toka 70s boss.
 
Mimi ni mdau wa kipindi cha Clouds 360.

Leo nilipofuatilia kipindi nikamkuta Hassan Ngoma akiripoti kutokea msibani huko Bukoba ambapo tanga ndugu linaendelea na wafiwa waliolala msibani akiwemo Ngoma walikuwa wamemaliza kupata kifungua kinywa.

Ingependeza kama mtatujulisha wadau wenu ni lini mtarejea rasmi hewani baada ya kumaliza maombolezo.

Poleni sana
Maendeleo hayana vyama!
 
Kwani kanisa katoliki limemuhukumu wapi na kivipi mbna mnatulisha maneno wakatoliki??
Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
 
Radio na TV ni zao wakiamua waomboleze hata mwaka mzima hayakuhusu, kama vipi sikiliza Radio Uhuru au Channel Ten.
 
Kanisa katoliki halimlazimisha marehemu kutubu au kumsalia wakati yy alivokuwa hai hakufanya hivo
Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…