TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

With Kidney failure, sitashtuka sana! Siombi hayo lakini ule ugonjwa si mzuri katu. All metabolic wastes have no exit outside the body!

Hivi ilishndikana kubadilisha..?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Baba ametoa na baba amechukua. My condolences to all walioguswa
 
Too sad. R.I.P Ruge na pole nyingi kwa familia na Clouds Media Group. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
 
Figo mkuu.
Kuna mambo mengi yanayosababisha figo kutokufanya kazi. Maradhi, dawa, nk.

Figo huchuja uchafu wa damu na uchafu huu hutolewa kwa njia ya mkojo na damu safi hurudi mzungukoni.

Figo zisipofanya kazi vizuri inamaana uchafu huendelea kuzunguka mwilini na huwa sumu. Ndiyo maana mgonjwa hufanyiwa dialysis ambayo hufanya kazi ya figo.
 
Pole dear[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24],,dah,,najua jinsi Hali inavyokuwa yaani

Nikiona huu ugonjwa unaendelea kuuwa watu huwa naugua Sana moyoni mwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruge Mutahaba ametutoka....This is beyond sad. Dah roho inaniuma sana

Mungu awatie nguvu ndugu zake, watoto wake na wafanyakazi wa clouds....

Tanzania has lost its biggest entertainment genius. R.I.P legend. R.I.P Creator and founder of Tanzania’s entertainment industry. Tanzania and its people will miss you Ruge..
 
Binadamu wanajisahau serikali imepiga kampeni ya chanjo ya hepatitis b na watu hawakuonekana kwa wingi
 
Asante mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…