TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Mungu ampumzishe mahali pema peponi.

Kama ni mkono wa mtu hakika alaaniwe na apate mabaya hapa hapa duniani na kuzimu pia.

Kuna watu wabaya sana hapa Tanzania.
Inawezekana vipi hii?
 
binadamu wanajisahau serikali imepiga kampeni ya chanjo ya hepatitis b na watu hawakuonekana kwa wingi
Mpaka tuje kuuelewa vizuri huu ugonjwa kama taifa nafikiri watu kibao watakuwa kwenye gridi tayari.
 
Ruge kumbe alizaliwa town NYC Brooklyn home of the greatest Rappers, kwa niaba ya Antivirus R.I.P
 
Usijali hakuna namna tuliumbiwa maradhi na maradhi yanatuua.
Ini na Figo vinaua vibaya jamani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Yaani hapa navuta picha mwaka2016
Huwa namuomba Mungu awaponye wagonjwa wote wa figo,,hata km wangu ilishindikana Basi Yale maombi yawaponye wengine

Nawaza Tena why Mungu amemchukua Ruge!??[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Why wagonjwa wa Figo wanateseka hivi!???
Yaani napata mzigo mzito rohoni kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kafariki, ITV wametangaza

Kwahiyo ulikuwa bado hujauamini huu Mtandao wenye uhakika wa JamiiForums? Hata hao ITV unaowategemea na uliowaamini kuliko JamiiForums taarifa yao huu Msiba wameithibitisha kutokea hapa hapa na hata 75% ya ' Source ' nyingi za Taarifa zao huwa wanazitoa hapa hapa Jamvini. Siku nyingine usirudie tena Kutouamini huu Mtandao tafadhali. Vitu vyote vya uhakika huwa 99.9% vinaanzia hapa na huko Kwingine vinafika baadae mno.
 
Polen wate mliofikwa na msiba huu

[emoji375][emoji375]
 
Ugonjwa gani huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kiongozi wa dini alitabiri kuondokewa kwa mtu maarufu AFRIKA MASHARIKI

The beast

Kila Binadamu ni maarufu kwa namna yake bila kujali yupo wapi na anafanya nini au ana hadhi gani, isipokuwa tunatofautiana tu katika umuhimu na uwepo Wetu hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…