Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Majaliwa ni Waziri mkuu tu , lakini siyo kiongozi wa ngazi ya juu , ukitaka kunielewa hapa fuatilia sakata la koroshoKassim Majaliwa alifika jana.
Hata kama alikuwa very close sidhani kama taarufa ya kifo hicho alistahili kuitoa yeye kama yeye . Ameingilia utaratibu wa familia. Hakuwa under him.Kumbuka rais alikuwa karibu sana na Ruge kwa hiyo ni lazima waangalizi wa mgonjwa wampe taarafa directly.....
Sio jambo la kuhoji.
Naomba kuuliza
ruge amekufa kifo cha kawaida?
ruge dakika za Mwisho za uhai wake alisema nini?
au alikata Roho ghafla?
Je ruge alijua anaondoka duniani na hatarudi Dar tena milele na milele?
Huwaga sielewi deni la HSP linatoka wp wakati mtu kafaUkute alikufa na deni kubwa hospital wakaona watangaze michango ili atoke ndo waseme .... na ndio maana hawana uhakika kama anakuja kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwaga sielewi deni la HSP linatoka wp wakati mtu kafa
Una hasira na presdaaMsiba huu ulikuwa unamhusu nini hadi awe wa kwanza kutangaza , na kwanini iwe Ruge tu na siyo wale watoto wanaochinjwa kila siku kule Njombe ?
Analipa ili atibiwe apone....na malipo hufanyika nyakati tofautiKwa alikua anatibiwa bure?
πππ..leo unasema hvyo tukimove on siku nyinhine mtasema wanawake huwa waharidhiki..alikua malaya tu..kha
Analipa ili atibiwe apone....na malipo hufanyika nyakati tofauti
sasa hakupona kafa....
[emoji40][emoji40][emoji40]nikiongea kuhusu mods nitapaya ban bure week ya ruge hii[emoji57]
Kwenye hoteli msosi tunawekewa mezani hatubebi wenyewe...Mkuu unapoenda hotelini ukaagiza msosi mara ghafla huo msosi ukakuponyoka chini wote hata hujaula je utaruhusiwa kuondoka bila kulipa kisa hujala?
tujue.Ili iweje
Jr[emoji769]
Kwenye hoteli msosi tunawekewa mezani hatubebi wenyewe...
Like kidding