TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Kumbuka rais alikuwa karibu sana na Ruge kwa hiyo ni lazima waangalizi wa mgonjwa wampe taarafa directly.....
Sio jambo la kuhoji.
Hata kama alikuwa very close sidhani kama taarufa ya kifo hicho alistahili kuitoa yeye kama yeye . Ameingilia utaratibu wa familia. Hakuwa under him.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza

ruge amekufa kifo cha kawaida?


ruge dakika za Mwisho za uhai wake alisema nini?


au alikata Roho ghafla?

Je ruge alijua anaondoka duniani na hatarudi Dar tena milele na milele?

Unaonaje ukienda pale kivukoni ukajitosa mle baharini kapotea tukija kukuokoa tukute ushatangulia ili Ukajibiwe hayo maswali na RUGE MWENYEWE
 
Zama tunamuonea tu. Ruge ana watoto watatu wanaolingana na juju ina maana wakati zama ana mimba kuna wengine pia walikua na mimba ya bwana wake. Hata kama ni moyo wa chuma hapana
😊😊😊..leo unasema hvyo tukimove on siku nyinhine mtasema wanawake huwa waharidhiki..alikua malaya tu..kha
 
Mkuu unapoenda hotelini ukaagiza msosi mara ghafla huo msosi ukakuponyoka chini wote hata hujaula je utaruhusiwa kuondoka bila kulipa kisa hujala?
Analipa ili atibiwe apone....na malipo hufanyika nyakati tofauti
sasa hakupona kafa....
 
kwani hujui alikuwa kada mtiifu wa ccm.. na nafasi yake pia katika jamii ilikuwa ni kubwa. Hakuna tatizo lolote kwa JPM kutweet kifo chake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom