TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Zama tunamuonea tu. Ruge ana watoto watatu wanaolingana na juju ina maana wakati zama ana mimba kuna wengine pia walikua na mimba ya bwana wake. Hata kama ni moyo wa chuma hapana

duh๐Ÿค”...kumbe ana familia kubwa..lol...azikwe tu kwakwwl
 
Mtu alitoa Mil 50, ulitarajia awe wa mwisho kupewa habari?!!
Mkuu hoja ni at what time did he tweet. Kwa nini awe wa kwanza wakati familia ndio wahusika wakubwa na mzigo ni wao? Yeye ni rais wa wote haijalishi nani ktk nchi hii. Kwa hiyo anavyoanza kuonesha uhusika wake mkuu kwenye issue za watu private tutanaza kudai awe anadesema pia kwenye misaba mingine . Hapo atadai tunamwonea????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali lako lina mantiki. Hata mimi nilishtuka kidogo huu uharaka wa uncle kutwiti.
 
rais ana vyanzo vingi vya taarifa
Raisi anaweza kujua ndugu yako kafa kabla yako na akakupigia simu ya kukupa pole,ilhali upo hapohapo hospitali aliyolazwa na hujawahi kuwa na mawasiliaono na raisi husika ,anaweza kusoma mesej na kusililiza mawasiliano ya mkeo ilhali mume mtu hata paswed ya simu ya mkeo huijui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raise alimchangia mil 5 , nasikia hata mchonga hakufa tarehe 14;wanafanya hivyo ili kuweka mazingira Kwanza na mipango ya awali
 
...alikuwa anamkubali sana Ruge lakini Klauz ilipovamiwa alimtimua kazi mtetezi wa Ruge.

Polonium 210 inaweza kuja tumiwa na watu wengine huko mbeleni dhidi ya wanaoitumia sasa.... what goes around comes around.

RIP Ruge.
mkuu umenitisha๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ฉ
 
Muulizeni daudi [emoji35] mi nahisi ameweka mkono wake HAPA[emoji15][emoji15][emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ