TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

RIP Ruge
IMG-20190226-WA0072.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ampumzishe mahali pema peponi.

Kama ni mkono wa mtu hakika alaaniwe na apate mabaya hapa hapa duniani na kuzimu pia.

Kuna watu wabaya sana hapa Tanzania.
Kwanini huwa tunawaza kulogwa na kuloga ndiyo mtu afe simama imara katika imani, hakuna mkono wa mtu ni muda wake tu ulifika, apumzike kwa amani

waiting for love
 
Taarifa za uhakika zilizonifika kutoka katika ofisi yetu muhimu... imesomeka kuwa Ruge Mutahaba amefariki dunia leo hii...
Mungu amuweke pahala pema peponi
Ameen..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yesuu! Pumzika Kwa Amani Ruge[emoji22][emoji120]
 
Poleni wafiwa! Mungu awafute machozi. Gone too soon Ruge!
 
Mkuu kwa maelezo inaonekana una utaalamu kidogo. Hivi hii kidney failure ikitokea ni zote zinafaa kufanya kidney replant au ziko ambazo hazifai?
With Kidney failure, sitashtuka sana! Siombi hayo lakini ule ugonjwa si mzuri katu. All metabolic wastes have no exit outside the body!
 
Clouds TV wameanza kupiga nyimbo za kwaya wameanza na wimbo wa Kwetu pazuri wa Ambassadors of Christ wa Rwanda, kisha Baadaye wa AMOS & JOSH na RABBIT KING KAKA.
 
Back
Top Bottom