MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Tangulia nasi twaja tutakuombea daima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Nimepoteza mama kwa sababu ya huu ugonjwa, ogopa unakaa ndani na mgonjwa mnasubiri afe.
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Mipango tu ya MUNGU nduguMungu ampumzishe mahali pema peponi.
Kama ni mkono wa mtu hakika alaaniwe na apate mabaya hapa hapa duniani na kuzimu pia.
Kuna watu wabaya sana hapa Tanzania.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole ya kwetu aiseee ..umenikumbusha hata mimi mzee alifariki ndani ya siku kadhaa tu figo zote mbili zilifeli..Siyo tu mashuhuri bali kipenzi cha wananchi.
Ndiyo maana mimi naomba Mungu nije kufa kwa mlipuko wa ajabu hata nilipukiwe na kombora nisambaratike kama udongo.Pole[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Yaani inafika stage hadi mgonjwa mwenyewe anajiona tu Kama haponi
Tulijaribu mbinu zote lakini wapi
Wale Wana maombi tukaomba na kufunga lakini wapi
Hiyo dialysis amefanyiwa lakini wapi Hali ilizidi kuwa mbaya tu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
E mwenyez Mungu turehemu sisi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah huu ugonjwa unashika hatamu sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole ya kwetu aiseee ..umenikumbusha hata mimi mzee alifariki ndani ya siku kadhaa tu figo zote mbili zilifeli..
Kifo kinatisha bhana yani unaona dalili nyingi za huyu mtu anaitwa lkn unajitahidi kukiri kwa imani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wale Maria na Consolata alitoa pole vile vileNaafikiri kaanza utaratibu wa kutoa pole kwa watu mashughuli wenye mchango mkubwa kwa taifa..R.I.P Ruge
Halaf unakuta mtu hakuwahi kutumia pombe tangu amezaliwa, yeye ndo mhamasishaji na Wa mfano kabisa Wa kunywa maji kila muda. Lakini eti anakuja kufa kwa sababu ya figo aiseeee.. we are too old to cry , but it hurts too much to laugh.Dah huu ugonjwa unashika hatamu sana.
Hata wale Maria na Consolata alitoa pole vile vileNaafikiri kaanza utaratibu wa kutoa pole kwa watu mashughuli wenye mchango mkubwa kwa taifa..R.I.P Ruge
Itakuwa alikishwa sumu sio Tatizo la Figo, Figo unaugua wiki mbili hadi unageuka na Sura? Hapana! Hapana!Mkuu kwa maelezo inaonekana una utaalamu kidogo. Hivi hii kidney failure ikitokea ni zote zinafaa kufanya kidney replant au ziko ambazo hazifai?