ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila mtu ana umasikini wa hela kama wewe. Wengine tunatafta wanawake.
Badi tafuta wanawake,huyo ashakufaSio kila mtu ana umasikini wa hela kama wewe. Wengine tunatafta wanawake.
Hii ndo point...na alichangia mil 50, na Rais alikuwa anamkubali sana RugeKumbuka rais alikuwa karibu sana na Ruge kwa hiyo ni lazima waangalizi wa mgonjwa wampe taarafa directly.....
Sio jambo la kuhoji.
Hata mi nahisi hiki kituu!Huyu alikufa siku nyingi sema hela ya kulipia na kutoa mwili ikawa shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye pesa hua hatafuti wanawake bali wanawake ndio humtafuta yeye.Sio kila mtu ana umasikini wa hela kama wewe. Wengine tunatafta wanawake. Ni pm namba yako mtoto mzuri.
Nimekumbuka ile barua ya Half ray taratibu ya kutoa pole iliyokosewa tarehe ikawa backdated 2018[emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Ukute alikufa na deni kubwa hospital wakaona watangaze michango ili atoke ndo waseme .... na ndio maana hawana uhakika kama anakuja kesho
Sent using Jamii Forums mobile app