TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Ni jambo la kushangaza sana asee.... Mi nikajiuliza clouds wana radio na TV ambazo zina watu wengi sana wanaozisikiliza... Umma ungejulishwa kupitia vyombo vyake Kama BREAKING NEWS watu wangelifaham kwa haraka zaidi kuliko twitter.
Je nini siri Ya yy kutangaza kifo hicho..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Familia iliamua hivyo ingawa wale inner circle wa familia walijua.
Pia kuna uzi wa tetesi humu mida ya saa moja au kumi na mbili hivi siku hiyo ulitoa taarifa humu kuwa kuna tetesi tuge kafariki hivyo rais sio wa kwanza kutoa taatifa hiyo.
 
Ukute alikufa na deni kubwa hospital wakaona watangaze michango ili atoke ndo waseme .... na ndio maana hawana uhakika kama anakuja kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekumbuka ile barua ya Half ray taratibu ya kutoa pole iliyokosewa tarehe ikawa backdated 2018[emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom