TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Soon utaujua ukweli mbona hakuna aliyetarajia kuwa semausikike ni recho. OG ni mange basi tu huko live anaazima mtu kuua soo. Hata kama ni mfuasi sio vile

Mange kamchukia tununu same to OG. Adui woooteee wa mange ni adui wa OG pia.

Kumsupport nandy ni mkakati wa muda tu nae atamgeuka pale asipotimiza akitakacho
Hapana dear, OG sio Mange. Mbona huwa anaingia live mara kibao? Kuna mambo mengi wanatofautiana pia japo wanafanana kwa mengi maana OG huwa anasema Mange ni role model wake na alianza kumfuatilia tokea U-Turn.

Anajitahidi lakini wananzengo hatumuelewiiii. Bora hata angempamba Ruby, Nandy hauziki.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi kale kamimba sio ka marehemu kweli [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile nyumba nguvu yake kabisa na hati itakua kwa jina la mtoto. Sana mpaka alifikia hatua ya kulia

Haaaa isijekuwa lengo lake alitaka wamove in together masikini [emoji24][emoji24][emoji24]
Mungu ampe pumziko, Zama nae Mungu ampe ujasiri alelee wale watoto maana yule marioo akimuacha atakuwa ktk wakati mgumu sana.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji125][emoji125][emoji125]Zari tena. Zama hawezi kipata kikombe cha zari kikubwa mno. Kumbuka Ivan hakua na ndugu wenye nguvu na mamlaka kama Ruge. Msiba wa ivan ulisimamiwa na Rich gang zaidi kuliko ndugu wakati Ruge show nzima ipo kwa wazazi na serikali kwa asilimia ndogo
Bhaaaaaaassss
Tokea pale nilimvua vyeo vyote! Na amekuwa mswahili hadi leo, show off kibao. Aombe Mungu sana kikombe alichonywea Zari kimuepuke.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nakumbuka ile ishu tulibishana na rafiki yangu hadi tulinuniana yaani alinichefua yule mwanamke, ila kile kitendo atakuja kukijutia sana
Bhaaaaaaassss
Tokea pale nilimvua vyeo vyote! Na amekuwa mswahili hadi leo, show off kibao. Aombe Mungu sana kikombe alichonywea Zari kimuepuke.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amen. Pamoja na kupensa ubuyu bado tunamtakia mema. Hivyo awe mpole kwa familia ya watu
Haaaa isijekuwa lengo lake alitaka wamove in together masikini [emoji24][emoji24][emoji24]
Mungu ampe pumziko, Zama nae Mungu ampe ujasiri alelee wale watoto maana yule marioo akimuacha atakuwa ktk wakati mgumu sana.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Haaaa isijekuwa lengo lake alitaka wamove in together masikini [emoji24][emoji24][emoji24]
Mungu ampe pumziko, Zama nae Mungu ampe ujasiri alelee wale watoto maana yule marioo akimuacha atakuwa ktk wakati mgumu sana.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ataachwa tu, we unadhani kijana mdogo yule atakubali kuishi na Zama maisha yote, kama sio kuachwa basi ataoa tena kijana mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kale kamimba sio ka marehemu kweli [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app

Ka marehemu shoga. Zama alivumilia hadi akina Shadee ila naona kwa Nandy uvumilivu ulimshinda.

Sasa inaonekana kabibie kalimuambia “Baby it’s too early kuwa na mtoto, ngoja tuvute muda kidogo tukioana tutazaa” kumbe ndio alikuwa aachiwe kumbukumbu, loooh!

Maana nasikia mpendwa wetu aliyetangulia kwa ahadi za ndoa tu alikuwa hajambo. Anakubembeleza umzalie kisha atakuvika pete na ndoa ifuate kumbe wapi! Ukibeba mimba ndio ndoa yenyewe 🤣🤣🤣

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bhaaaaaaassss
Tokea pale nilimvua vyeo vyote! Na amekuwa mswahili hadi leo, show off kibao. Aombe Mungu sana kikombe alichonywea Zari kimuepuke.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Umepotelea wapi ? Zama alaaniwe kabisa,kujipendekeza kwa Marehemu Ruge,hadi Ruge akaingia line wakazaa,Dina akapoteza kazi. Snitch Zama mwisho wake mbaya. Aliniudhi sana alipovujisha audio za Ruge akililia penzi.
 
Natamani ungeangalia upande tunaoangalia sie ungeelewa. Hao wawili dini zilikua tofauti na sababu kadhaa hivyo kwa miaka karibia 9 na kitu ndoa hakuna dalili na bibie shida yake ilikua ndoa ndo maana bwana mpya alipojitokeza fasta ndoa ikafungwa
Hawakuachana kisa cha dini..

Na kwa uumini gani mpaka zama akatae kuolewa??

Kuna mengine!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom