Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Mimi alinichefua alipovujisha ile audio yaani nilimuona popoma wa kiwango cha esijiara...Hahaaaaa si unamjuaga tena na magazeti yake? Ila nilikuwa nampenda sana basi tu kaja kunikera juzikati alivyoanza mashauzi ya kijinga na kumdhalilisha marehemu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app