Ruge Mutahaba ndiye aliyeharibu tasnia ya uandishi habari hapa Tanzania

Tatizo sio Ruge wala nani...

Ndugu mwandishi utakubaliana na mimi kuwa public ya Tanzania ni vilaza na ndio vitu wanapenda...

Zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania wanaofanikiwa kwenda elimu ya kidato cha nne huwa wanafeli masomo ya msingi hasa hesabu.. na wengine wengi ni Four na failures...

Public ya namna hiyo kitu unaweza waelezea wakakuelewa ni Uchawi,Dini, Miziki, Mpira na Mapenzi..

The other 30p wanateseka kudhan wanaweza badilisha public ys namna hii...
Its inborn ingnorance and stupidity which will take time to be eradicated...

Wacha kumsingizia Ruge
 
Lady Jide ni mwandishi wa habari by professional
 
1. Baba levo, 2.Kitenge 3. Juma lokole, 4. Ricardo momo 5. Kitale 6. Mpoki etal
Kitenge sio kwamba ni professional kabsa sio rahisi ITv kwa miaka 2010 waakajiri mtu asiye na kisomo cha hyo taaluma

Yote kwa yote (habari nayo ni biashara kama biashara nyingine) ni bidhaa ambayo marketing managers wameona sisi walaji unapenda vitu vyepesi na vya burudani zaidi ndio maana wapo wengi tu wasio na Profesional hzo media zinazoajiri wenye professional Zina ingiza thamani gani ya mauzo? Nikikuuliza

tunachoangalia kipi kinauza na Wakina na nani wanaweza kurise revenue. Ndo maana nawaona hao kina baba levo n. K

2.Hivi hujawahi sikia shule zinanunua wanafunzi bright Ata 20 il kufanya shule isifike inafundisha vizuri na inakuwa na walimu ambao Sio walimu by Profesional? Unakuta mtu ni mhasibu. Ila anafundisha Economics
 
Sio lazima watu wasomee uandishi wa habari ndio wawe waandishi wa habari ila ni muhimu kabla mtu hajawa muandishi wa habari kabisa ajifunze na kupata uzoefu angalau nusu mwaka katika media house
 
Diddah nilisoma sehemu alisomea Journalism chuo Cha DSJ miaka ya 2000 mwanzoni hadi 2007 hapo kati.
Alisoma na Sinta muigizaji mwenzie wa Kaole Group wakati huo.
Sema ile aina yake ya kufanya kazi ilitokana na tabia na hulka yake.
 
Jua kutofautisha habari na taarifa ya habari,kila mtu anajukumu la kupata na kusambaza habari,lakini sio kila mtu anajukumu la kupata taarifa ya habari na kusambaza.
 
Sio kweli. Amina Chifupa tumemaliza nae form six mwaka mmoja na alikuja chuo nilichokuwepo akasoma Basc Certificate pamoja na Ben Kinyaia na Alex Lwambano aliyemaliza Diploma. Wakati huo alikuwa akiletwa na gari ya Mpakanjia GX 100 imeandikwa nyuma CK Kitendawili. Hivyo ABC za Journalism alipata
 
Anamaanisha hizo media zingine zenye viongozi wenye weledi kwanini waige mfumo wa Ruge wa media ndogo?
Hapo mwenye tatizo Ruge au walio iga kwake?
Kifupi wengine wajitathimini.
Yaa
1. Baba levo, 2.Kitenge 3. Juma lokole, 4. Ricardo momo 5. Kitale 6. Mpoki etal
Yaani kama mtoa mada nimemuelewa vizuri hao wengine wameona kumbe inawezekana na mambo yakaenda kama alivyofanya ruge
 
FACT.

 
Kitenge amesomea ile kazi. Aliifanya vizuri kwa weledi alipokuwa IPP Media.
Didah nilisoma mahali nae alisoma chuo cha Journalism miaka ya 2000 mwanzoni pamoja na muigizaji mwenzie Sinta.
Bongo tunakosea pia kufikiria mtu aliyesomea Journalism au Mass Communication tayari ni mwandishi wa habari anayeweza kuchambua na kuongelea kila kitu kunzia siasa, biashara hadi uchumi. Kama huyo Kitenge ilitakiwa abaki kwenye mipira ya Yanga na Simba tu au awe presenter tu lakini sio mchambuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…