RUGE tuamuangalie upande wa pili

Kwa aneelewa maisha ya binadamu na ubinadamu post yako ni uchafu mtupu. Mitume na manabii wengi hawakuwa na familia ila waligusa kihalali maisha ya watu. Wewe na familia yako unaongeza nini kwenye jamii au mzigo tu tunakuombea utangulie tule hata ubwabwa hutaki?!
 
Naomba unieleweshe. Ni lazima mtu awe role model kwenye kila jambo?
 

Umemaliza mkuu. Hii in law we call them “hear say evidences”. Not admissible at all.
 
Ruge alikuwa mtu mwenye mawazo huru. Na watu wengi wa jamii yake sio wafuata mkumbo. Eti kwa kuwa wanaume wengi huwa wanaoa wakifikisha umri fulani basi na yeye aige. Watu wengi wenye mawazo huru wamefanikiwa sana kimaisha (si lazima kifedha) na wanaishi kwa terms zao. Wewe ukiona kuoa ni lazima oa ila usitake kila mwanaume aoe akifikisha umri fulani.
 
Hahahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pointless
 
Hakuna sheria inayomlazimisha mtu kuoa akifikisha umri fulani,tumwache Ruge apumzike salama kwenye makazi yake ya milele
 
Kwa hiyo Ruge kwako ni mtume na nabii wako, pole sana
 
Mtoa mada unataka kutuambia Ruge hana nyumbani kwake binafsi alikojenga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…