RUGE tuamuangalie upande wa pili

Ushaitiwa baswata huku mkuu!
 
Aliyeoa ndo mwenye mawazo haya lkn kama hujaoa unaona kuoa ni mtindo wa kisasa.
Watambue kuna mengi ya kujifunza sio ndoa tuu.
Wangapi wana ndoa zao zimewashinda..?
 
Hakuna kinachoweza kudumu milele ila Mungu pekee, media imemkuza sana kuliko alivyostahili. Sioni makubwa aliyoyafanya zaidi ya kuinua vipaji vichache vya mashoga na wahuni kadhaa
Kwani alikuwa kaumu ya Nabii LUTTU? Tujuzane ukweli mkuu
 
Swali la Msingi Ruge alipokuwa anakaa masaki ni kwake au alipanga?
 
Inatakiwa ufungwe jela maana umetoa bandiko linaloudhi watu. Wewe jifikirie had rais kaumia kwa kifo cha ruge wewe ni nan usiumie nawaagiza polisi ufungwe jela maana hujaumia kwa kifo cha Mwana ccm ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Tunasafari ndefu sana. Ndio maana kuna watu wanafurahia Lisu kupigwa risasi na kunyimwa matibabu.
 

we mjinga maadili ni kuoa, kuwa na familia

inakuwaje wenye ukimwi wengi ni wanandoa?

badilisha mtazamo

unataka kusema Yesu hakuoa so hakuwa na maadili?

au mapadri hawana maadili?

mkapa kipindi anapewa nchi hakuwa na mke before


nadhan hauna backup data za kumwangalia Ruge upande wa pili

angalia tena upande wa pili...lakini sio kwa hoja hizi
 

haumjui bana

ruge fuatilia projects zake dunia ya habari unawezaje ukaishi kwa kudhania

ofisini mnafanyaje kazi? au uko local government?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…