Rukwa: Adaiwa kumuua mkewe kwa kumnyonga akimtuhumu kuchepuka, naye ajiua kwa kujinyonga

Rukwa: Adaiwa kumuua mkewe kwa kumnyonga akimtuhumu kuchepuka, naye ajiua kwa kujinyonga

Tatizo jamii inalazimisha sana watu kuingia kwenye ndoa

Bila ndoa baadhi ya watu,hasa wanawake,wanaonekana kama ni kasoro kumbe si kweli
Tukiwaambia njooni tuwagegegde na kuwapa mimba bila ndoa mnakataa, mkiolewa hamtulii...basi tabu tupu nyie wanawake
 
Nilimjua kipindi yupo Arusha kwa wazaz wake before hajenda huko Tanga na alikuwa mtu poa tuu yupo normal

Sasa sijui ninin kilimpata huko Tanga alipokuwepo mpaka kufanya kitu kama hicho.
Uchungu wa kutombewer mbususu zaidi ya ule uchungu mnapataka nyie pale njemba anakugegegda alafu ndio bye bye huku wee roho ilishapemda
 
Nilimjua kipindi yupo Arusha kwa wazaz wake before hajenda huko Tanga na alikuwa mtu poa tuu yupo normal

Sasa sijui ninin kilimpata huko Tanga alipokuwepo mpaka kufanya kitu kama hicho.
Jamaa na mkewe wote walisoma ATC ki ukweli jamaa alikuwa mpole sana wote na mkewe.
 
View attachment 2307819
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi

Mwalimu wa Shule ya Sekondari Tanga, iliyopo Mkoani Tanga, Emmanuel Jerome (32), anadaiwa kumnyonga mke wake, Lucy Nshoma (34), katika nyumba ya kulala wageni mkoani Rukwa, kisha na yeye kujinyonga kwa kutumia kamba juu ya mti siku moja baadaye Mkoani Katavi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Ali Makame amesema marehemu ni mkazi wa Tanga na chanzo cha tukio hilo ni wivu wa kimapenzi.

Kamanda Makame amesema marehemu Jerome alikuwa na mgogoro na mke wake, ambapo alimtuhumu kutoka kimapenzi na wanaume wengine.

Alisema Jerome na mkewe walipanga safari kuelekea mkoani Rukwa, ambapo ni nyumbani kwao marehemu mke wake na walifikia nyumba ya kulala wageni Julai 26, 2022, ndipo usiku alipochukua uamuzi wa kumnyonga mkewe.

Kamanda Makame alisema baada ya kumnyonga katika nyumba hiyo ya wageni, aliacha ujumbe wa maandishi kwa ndugu wa mke wake ambao ni mashemeji zake uliosomeka: "Nisameheni kwa yaliotokea".

Alieleza kuwa baada ya kufanya tukio hilo mkoani Rukwa alikimbilia mkoani Katavi na Julai 27,2022, huko mtaa wa Ilembo, Manispaa ya Mpanda, alichukua uamuzi wa kujinyonga na walikuta mwili wake ukiwa unaning’inia kwenye kamba.
IMG-20220730-WA0138.jpg
 
Nilimjua kipindi yupo Arusha kwa wazaz wake before hajenda huko Tanga na alikuwa mtu poa tuu yupo normal

Sasa sijui ninin kilimpata huko Tanga alipokuwepo mpaka kufanya kitu kama hicho.
Aliwah kuwa mpenz wako? Vip dushe lake lilikuwa linakidhi kiwango Cha kimataifa?? Maana Kama lilikuwa halikidhi ndo kinaweza kikawa chanzo Cha mpenz wake kuliwa na ma- ex wake!!! Hebu toa ushuhuda wew aliewah kukula
 
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Tanga, iliyopo Mkoani Tanga, Emmanuel Jerome (32), anadaiwa kumnyonga mke wake, Lucy Nshoma (34), katika nyumba ya kulala wageni mkoani Rukwa,

Hivi umesoma hichi juu ulichokiandika [emoji115]

Mnaandika habari haraka haraka mnakimbizwa na nini
Mlevi ushalewa , ukisoma taarifa inaonesha aliondoka na mkewe kutoka tanga kwenda rukwa lakini walifikia lodge jamaa akafanya yake yake alifanyia wakiwa rukwa ....sio tanga
 
Back
Top Bottom