RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

Wacha wabwie vidonge tu.

Naamini kila kituo kinapaswa kufuata miongozo ya urushaji maudhui na pia naamini hii miongozo wanapewa na wanaifahamu.

Utetezi wa watu kukosa ajira ni wa kijinga kabisa.
Unataka kusema wanastahil hiyo adhabu.?
 
Hapana. Miez sita n mingi Sana Kuna wengi wata umia Sana hasa wanao tegemea ajira kutokea hapoView attachment 1668924View attachment 1668925
Gigy mahela kawaponza wenzie.

Kama kuna uwezekano wa baadhi ya matukio ya live wasionyeshe kwenye TV,ikiwezekana watumie Youtube,manake live wasanii wengi vichwa vinakuwa vishajaa bangi mixer pombe kila analolifanya analiona sawa.

Hapo bado mwezi wa nne ,napo utaondoka na watangazaji wengi makanjanja mf Mwijaku,Baba Levo,Mpoki nk yaani kama haupo certified benchi lina kuhusu.
 
Kama ulikuwa hujui ya kwamba shetani huwa hana rafiki basi wewe ni boya!
 
Wakifungiwa wanaendelea kulipa Kodi?
 
Jamaa uonevu wanaofanyiwa wateja kuibiwa pesa kwenye account za simu wao hawayaoni ila kazi kusumbuka na wasanii tu.
Na wao wanatafuta pesa ili mwisho wa siku wapeleke gawio kwa Jiwe.

Makampuni ya simu huwa wanatoa fine mara kwa mara, nadhani hata kwenye prospects za mahesabu ya mwaka huwa wanaweka fungu.

Uzuri wa makampuni ya simu qakishatia fine, wanajua watarudisha vipi: Hapo ndio picha linaanzia kwenye vifurushi na bahati nasibu za kitapeli.
 
Duuh hata kama walikuwa na Kosa hapanaa jamanii miezi sita kisa upuuzi wa mjinga mmoja sio hakii...!! Magu naamini ataingilia kati kwa kazi aliyofanya Mondi naona kabisaa tatizo linatengenezwa alafu litatatuliwaa japoo Mitano tena sidhani kama mzee anaitakaa sasa duuh inaweza kuwa serious[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila Miezi sita jamani hapana wafikirie maisha ya vijana walioajiariwa ambao familia zao zinaishi kwa nguvu ya wasafi tv
 
Wana wanyoosha balaa raia. Wakiiba sh.100 kwa wateja million 2 tu washarudisha hela zao.
 
Duuh hata kama walikuwa na Kosa hapanaa jamanii miezi sita kisa upuuzi wa mjinga mmoja sio hakii...!! Magu naamini ataingilia kati kwa kazi aliyofanya Mondi naona kabisaa tatizo linatengenezwa alafu litatatuliwaa japoo Mitano tena sidhani kama mzee anaitakaa sasa duuh inaweza kuwa serious[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila Miezi sita jamani hapana wafikirie maisha ya vijana walioajiariwa ambao familia zao zinaishi kwa nguvu ya wasafi tv
 
Duuh hii imezidi mkuu...

GIGY MONEY KAAMUA AFUTE NA PICHA ZOTE INSTA. SIO KWA KUITIA HASARAA KAMPUNI KIASI HIKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…