glass amo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,645
- 4,330
Hakika. Hafai huyu hata kwa kuaangwaWewe unaonekana unakasumba ya u team. Ni inabidi tukupuuze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika. Hafai huyu hata kwa kuaangwaWewe unaonekana unakasumba ya u team. Ni inabidi tukupuuze
Point [emoji3516]adhabu ni sawa lkn adhabu ni kubwa mno ingawa hata huwa sikai kabisa katika tv
Unataka kusema wanastahil hiyo adhabu.?Wacha wabwie vidonge tu.
Naamini kila kituo kinapaswa kufuata miongozo ya urushaji maudhui na pia naamini hii miongozo wanapewa na wanaifahamu.
Utetezi wa watu kukosa ajira ni wa kijinga kabisa.
Gigy mahela kawaponza wenzie.Hapana. Miez sita n mingi Sana Kuna wengi wata umia Sana hasa wanao tegemea ajira kutokea hapoView attachment 1668924View attachment 1668925
Duuuuh. Aisee get well soonKwanza huu n kidogo Sana wangepgwa
1yrs pamoja na redio Yao kabsa ili wawe na akili
Gigy anakitumbua kimevimba kama tv ya chogo.
hakika, pamoja na huyo mose kingWewe unaonekana unakasumba ya u team. Ni inabidi tukupuuze
Na wao wanatafuta pesa ili mwisho wa siku wapeleke gawio kwa Jiwe.Jamaa uonevu wanaofanyiwa wateja kuibiwa pesa kwenye account za simu wao hawayaoni ila kazi kusumbuka na wasanii tu.
Hata ukijua haikusaidii mkuuUnafanya kazi gani pale Wasafi?
wanyoosha balaa raia. Wakiiba sh.100 kwa wateja million 2 tu washarudisha hela zao.Na wao wanatafuta pesa ili mwisho wa siku wapeleke gawio kwa Jiwe.
Makampuni ya simu huwa wanatoa fine mara kwa mara, nadhani hata kwenye prospects za mahesabu ya mwaka huwa wanaweka fungu.
Uzuri wa makampuni ya simu qakishatia fine, wanajua watarudisha vipi: Hapo ndio picha linaanzia kwenye vifurushi na bahati nasibu za kitapeli.
[emoji3][emoji3][emoji3]Basi subiri miezi 6 iishe nitarudi nao tutakuwa tunaangalia ote.. [emoji12]Ulivoondokaa sikuwahi kuiwashaa tena[emoji23][emoji23]
Nimefuatilia kwa makini mijadala kuhusu adhabu ya Wasafi kutoka TCRA. Ukweli utabaki pale pale. Wasafi hamtakiwi kuwa juu ya sheria za nchi. Kama vituo vingine vinafungiwa, nyinyi ni nani msipapaswe mnapokosea? Sheria huwa haitazami una connection na nani ila rungu likishuka linashuka zima zima.
Poleni ndio kukua.
[emoji849][emoji23][emoji23][emoji383]Kama ulikuwa hujui ya kwamba shetani huwa hana rafiki basi wewe ni boya!