Rupia: Hazina ya Mjerumani


Hiyo conclusion yako kiongozi imenifurahisha Sana.
 

Asante Sana kwa elimu hii kiongozi naona uko kina cha bahari (deep) Sana juu ya hivi mavitu.

Nimegain vitu hapa.
 
Mi sihitaji kuchangia mada ya kuwa vipo au havipo kwa wale wenye navyo vitu vya kijeruman iwe pasi ..fufumark
.red mercury au stoves
 
Mi nnayo stove na najua sehemu hivi vyote vilivotajwa vilipo mtu akitaka anipm

Hamna kitu the don. Trust me huna kaka! Jamaa yangu aliambiwa iko bush akaambiwa ili ije anatakiwa kununua kuku saba weupe matetea na njiwa weusi watatu! Kisha akaambiwa atoe laki mbili za mganga ili aiombee rupia ikubali. Jamaa akatoa na kilichofuata akaambiwa rupia imegoma kwa kuwa jamaa ana roho mbaya! Jamaa alishaanza kuwehuka kushinda beforward akisaka Bentley na hule mbezi akisaka hekalu akaishi maana aliambiwa value ni dola za marekani milioni mbili!
 

Mkuu nimekufatilia kwa ukaribu sana na nimepata picha fulani,kuna kipindi niliishi pale Mpanda kwasasa mkoa wa Katavi,kuna eneo moja almaarufu kama "kampuni",ukifika hapo utakuta mashimo makubwa na marefu(yasio na kadirio la urefu) na ardhi iliyo badirika na kuwa katika hali ya jangwa baadhi ya nyumba za kizamani,pamoja na mlima mrefu wa kokoto ambazo haziishi miaka nenda rudi..
Katika masimulizi ya wakazi wapale unaambiwa katika baadhi ya hizo nyumba kuna nyumba moja ambayo mjerumani anaondoka aliicha kafunga kufuri moja kubwa sana katika chumba kinachoonekana ni underground na kunaidadi ya wazawa walio wahi kujaribu kubomoa huo mlango na hilo kufuri kwa kila namna lakini hakuana alie fanikiwa,inasemekana mjerumani hapo pia aliacha mali nyingi sana katika hicho chumba..Fikiri kuanzia Muingereza kuchukua hii nchi kwa wakati hule pia hakuweza kufanikisha pia kupata nafasi ya kubomoa hilo jumba.
Pia katika hayo mashimo inasemekana Mjerumani wakati anaondoka alitoboa miamba ambayo ilifanya maji ya jae katika hayo mashimo pia kunatetesi kuwa kunabaadhi ya watu walijaribu kutumbukia kutafuta kilichomo na walipotelea na hawa julikani wala maiti hazikuonekana,pia na kumbuka katika ushuhuda fulani tulichukua mawe makubwa makubwa na kutupia pindi jiwe litumbukiapo katika hayo mashimo husikia likisafiri bila ya kusikia hitimisho lake,na wenyeji wanakwambia kuwa kunaidadi kubwa ya wananchi waliotembelea eneo hilo nakutupa mawe lakini halijawahi kujaa walakuonyesha dalili za kujaa..Pia ni idadi kubwa sana ya waswahili wanao fika pale kwenda kutafuta utajiri
 

weka picha
 

Hahahaa, naona umempa kavu za uso! safi sana.
 
mimi nimesoma iyunga technical sec.school pale mbeya,hii habari za kutafuta rupia ni kweli kabisa nakumbuka mwaka 1996-1999 kuna jamaa walikuja kuchimba shimo kukwa na refu tu kule kwenye bweni la ruthuli wakutafuta hizo rupia,sasa sijui kulikuwa na mkono wa serikali sijui kwakuwa jamaa wakuja wamejandaa na walikuwa na dhana za kazi za uhakika
 
Ina madini muhimu sna yanayotafutwa kwa udi na uvumba nchini ujerumani. Kuna kibabu kule lushoto anayo RUPIA lkn tatizo anahitaji kiac kdg amkabidhi mtu wake aje nae mjini kuiuza. kama una soko zuri wasiliana nami, ebutati@gmail.com

Huwa hazina madini ila zinakuwa na MAJINI.....Wafanyabiashara wakubwa wanaijua kazi yake ila kuipta ya kweli ndio issue hata huyo anaekwambia huenda atakuwa nayo yakuchonga kuipa halis ckz ndogo.....naukickia mtu anayo naanataka pesa ndio akupe huyo ni MUONGO .....
 
Tatizo ni elimu ya hizo rupia wtz wengi hawana. Kutokana na kukosa elimu wtz wengi wanadharau na kutotafuta taarifa kamili juu ya hizo rupia.

Leo ngoja niwape kwa ufupi kuhusu rupia. Kwanza sarafu hizo ni za mjerumani ambazo zilitumika kipindi cha utawala wao hapa Tanganyika. Hela hizo zimetengenezwa kwa majini na sarafu moja inakadiriwa kuwa na majini 200 hadi 500. Kutokana na sarafu hizo kuwa na majini mengi, zina mashart mengi juu ya utunzaji wake na pia uuzaji wake.

Wtz wengi tunapenda kwenda kutibiwa kwa waganga na wengine hupeleka sarafu hizo kwa ajili ya kusafishwa nyota na mengineyo. Kwa kufanya hivyo kama sarafu hiyo ya rupia ulishaifanyia/ilishafanyiwa mambo hayo tayari kitaalam unakuwa umekwisha iharibu. So ili rupia hiyo iwe safi na iuzike kirahisi ni lazima iwe haijapitia kwa waganga na pie iwe imetunzwa mahali pasafi na hasa kwenye kitambaa cheupe. Pia unapoibeba kwa ajili ya kwenda kuiuza usiweke nia ya kuiuza bali weka nia ya kwenda kupewa zawadi.

Kwa ufupi ni hayo nitaendelea.....
 
Pia rupia zina utaratibu wa kuipima kama ni yenyewe au ni feki. Ili ujue kama rupia uliyo nayo ni yenyewe chukua glass hasa ya kioo weka maji ndani yake halafu weka sarafu hiyo ya rupia kisha ndani ya glass yenye maji kisha dumbukiza sarafu yoyote ya tz kisha angalia matokeo yake. Utapata jibu na fanya tena kinyume chake kama matokeo yatafanana ujue hiyo rupia ni feki.

Rupia ziko za aina tatu kuna za simba wawili kati kati mtende, hizo zina thamani kubwa. Kuna za simba mmoja hizo zina thamani ndogo tena masharti yake ni magumu zaidi kuliko yale ya zenye simba wawili.

Hela inayopatikana kwa kupata zawadi ya rupia pia ina mashart yake. Kwanza hela hiyo kabla ya kuitumia lazima utoe zaka, usaidie jamii kv watoto yatima, wagonjwa, walemavu nk.

Wengi waliojua masharti haya na mengine mengi wamefanikiwa na ndo maana mnaona baadhi ya matajiri wakubwa wanatoa misaada mikubwa tena wengine ukiangalia biashara zake na utajiri alionao unashindwa kuamini. Kumbe amepata hela ya rupia. Fanyen utafiti acheni longolongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…