Rushwa kwenye ujenzi wa barabara ni kubwa sana 10% ni lazima

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Kupata ujenzi wa aina yeyote Tanzania hasa wa barabara ni lazima utoe 10%. Hii inasabisha

1. Gharama za ujenzi wanaoshinda ni wale waliopewa habari za ndani
2. Rushwa inaanzia juu kwa waziri mpaka kwa managers wa chini
3. Kulipwa ni lazima utoe pesa nyingine
4. Hii inasabaisha kampuni nyingi kufa

Tujiulize hizo 10% za ujenzi nchi nzima zingejenga barabara ngapi??? Bila kupata wazalendo wa kutuokoa ujenzi Tanzania utakuwa shida!!!
 
Anayeshawishi ni nani?
  • Anayetaka zabuni au anayetoa zabuni?
 
Kupata ujenzi wa aina yeyote Tanzania hasa wa barabara ni lazima utoe 10%. Hii inasabisha

1. Gharama za ujenzi wanaoshinda ni wale waliopewa habari za ndani
2. Rushwa inaanzia juu kwa waziri mpaka kwa managers wa chini
3. Kulipwa ni lazima utoe pesa nyingine
4. Hii inasabaisha kampuni nyingi kufa

Tujiulize hizo 10% za ujenzi nchi nzima zingejenga barabara ngapi??? Bila kupata wazalendo wa kutuokoa ujenzi Tanzania utakuwa shida!!!
Ni ndogo Sana hiyo wanaendagq mpaka 30%
 
1752481775682.jpg
 
10% kwenye mega projects zozote duniani ipo!
 
Kupata ujenzi wa aina yeyote Tanzania hasa wa barabara ni lazima utoe 10%. Hii inasabisha

1. Gharama za ujenzi wanaoshinda ni wale waliopewa habari za ndani
2. Rushwa inaanzia juu kwa waziri mpaka kwa managers wa chini
3. Kulipwa ni lazima utoe pesa nyingine
4. Hii inasabaisha kampuni nyingi kufa

Tujiulize hizo 10% za ujenzi nchi nzima zingejenga barabara ngapi??? Bila kupata wazalendo wa kutuokoa ujenzi Tanzania utakuwa shida!!!
Siyo huko kwenye tenda tu za barabara. Hata kwenye tenda zingine. Yaani mchezo unaanzia kwenye mfumo wa NeST, yaani anayeshinda anajulikana na unakuta tenda board hata hawajui ila anayejua bosi na wale wezi wadogo wadogo. Hata private ukipata tenda bila kutoa rushwa inakula kwako. In short rushwa ni balaa
 
Kupata ujenzi wa aina yeyote Tanzania hasa wa barabara ni lazima utoe 10%. Hii inasabisha

1. Gharama za ujenzi wanaoshinda ni wale waliopewa habari za ndani
2. Rushwa inaanzia juu kwa waziri mpaka kwa managers wa chini
3. Kulipwa ni lazima utoe pesa nyingine
4. Hii inasabaisha kampuni nyingi kufa

Tujiulize hizo 10% za ujenzi nchi nzima zingejenga barabara ngapi??? Bila kupata wazalendo wa kutuokoa ujenzi Tanzania utakuwa shida!!!
10% ni rushwa. Facilitation fees ili 10% ipatikane ni rushwa!
 
Gharama za ujenzi wanaoshinda ni wale waliopewa habari za ndani
2. Rushwa inaanzia juu kwa waziri mpaka kwa managers wa chini
3. Kulipwa ni lazima utoe pesa nyingine
4. Hii inasabaisha kampuni nyingi kufa
Kwa namna rushwa ilivyotamalaki awamu hii usishangae mkuu.
 
Back
Top Bottom