Ni ndogo Sana hiyo wanaendagq mpaka 30%Kupata ujenzi wa aina yeyote Tanzania hasa wa barabara ni lazima utoe 10%. Hii inasabisha
1. Gharama za ujenzi wanaoshinda ni wale waliopewa habari za ndani
2. Rushwa inaanzia juu kwa waziri mpaka kwa managers wa chini
3. Kulipwa ni lazima utoe pesa nyingine
4. Hii inasabaisha kampuni nyingi kufa
Tujiulize hizo 10% za ujenzi nchi nzima zingejenga barabara ngapi??? Bila kupata wazalendo wa kutuokoa ujenzi Tanzania utakuwa shida!!!
Kupata ujenzi wa aina yeyote Tanzania hasa wa barabara ni lazima utoe 10%. Hii inasabisha
1. Gharama za ujenzi wanaoshinda ni wale waliopewa habari za ndani
2. Rushwa inaanzia juu kwa waziri mpaka kwa managers wa chini
3. Kulipwa ni lazima utoe pesa nyingine
4. Hii inasabaisha kampuni nyingi kufa
Tujiulize hizo 10% za ujenzi nchi nzima zingejenga barabara ngapi??? Bila kupata wazalendo wa kutuokoa ujenzi Tanzania utakuwa shida!!!
10% kwenye mega projects zozote duniani ipo!Kupata ujenzi wa aina yeyote Tanzania hasa wa barabara ni lazima utoe 10%. Hii inasabisha
1. Gharama za ujenzi wanaoshinda ni wale waliopewa habari za ndani
2. Rushwa inaanzia juu kwa waziri mpaka kwa managers wa chini
3. Kulipwa ni lazima utoe pesa nyingine
4. Hii inasabaisha kampuni nyingi kufa
Tujiulize hizo 10% za ujenzi nchi nzima zingejenga barabara ngapi??? Bila kupata wazalendo wa kutuokoa ujenzi Tanzania utakuwa shida!!!
Siyo huko kwenye tenda tu za barabara. Hata kwenye tenda zingine. Yaani mchezo unaanzia kwenye mfumo wa NeST, yaani anayeshinda anajulikana na unakuta tenda board hata hawajui ila anayejua bosi na wale wezi wadogo wadogo. Hata private ukipata tenda bila kutoa rushwa inakula kwako. In short rushwa ni balaaKupata ujenzi wa aina yeyote Tanzania hasa wa barabara ni lazima utoe 10%. Hii inasabisha
1. Gharama za ujenzi wanaoshinda ni wale waliopewa habari za ndani
2. Rushwa inaanzia juu kwa waziri mpaka kwa managers wa chini
3. Kulipwa ni lazima utoe pesa nyingine
4. Hii inasabaisha kampuni nyingi kufa
Tujiulize hizo 10% za ujenzi nchi nzima zingejenga barabara ngapi??? Bila kupata wazalendo wa kutuokoa ujenzi Tanzania utakuwa shida!!!
Hii ni dalili ya ugonjwa. Inaonesha haujawahi kuwa wa kwanzs kwenye vitu vya msingi maisha yako yote.wa kwanza kucomment
10% ni rushwa. Facilitation fees ili 10% ipatikane ni rushwa!Kupata ujenzi wa aina yeyote Tanzania hasa wa barabara ni lazima utoe 10%. Hii inasabisha
1. Gharama za ujenzi wanaoshinda ni wale waliopewa habari za ndani
2. Rushwa inaanzia juu kwa waziri mpaka kwa managers wa chini
3. Kulipwa ni lazima utoe pesa nyingine
4. Hii inasabaisha kampuni nyingi kufa
Tujiulize hizo 10% za ujenzi nchi nzima zingejenga barabara ngapi??? Bila kupata wazalendo wa kutuokoa ujenzi Tanzania utakuwa shida!!!
Nenda kapokee zawadi Kwa max! hapa sio facebookwa kwanza kucomment
Kwa namna rushwa ilivyotamalaki awamu hii usishangae mkuu.Gharama za ujenzi wanaoshinda ni wale waliopewa habari za ndani