Putin ni mtu dhaifu sana ndiyo maana akitingishwa tu anaamua kufanya mauaji kabisa; mtafute Prigozhin. Yeye analazimisha kuheshimiwa kama super power wakati hana ubavu. Kumbukumbu za USSR zinamsumbua sana. Anatafuta kila nchi yenye uhusiano mbaya na Marekani waunde ushirika. ALianzia North Korea, na sasa kaingia Iran. Alijaribu China wakamtolea mbali. Anataka naye awe na NATO yake baada ya kugundua kuwa ile aliyounda miaka ile haina nguvu na wanamkimbia mmoja mmoja. Aliiacha Syria ikaanguka, sasa hivi ameiacha Armenia nayo iko matatizoni kwani hana uwezo wa kuhimili mapambao ya dimansion kubwa.
Wewe unaonajeYaani urusi ikaipige israel/marekani kisa iran inachapika, hii inaingia akilini?
Hujui hata usemaloPutin ni mtu dhaifu sana ndiyo maana akitingishwa tu anaamua kufanya mauaji kabisa; mtafute Prigozhin. Yeye analazimisha kuheshimiwa kama super power wakati hana ubavu. Kumbukumbu za USSR zinamsumbua sana. Anatafuta kila nchi yenye uhusiano mbaya na Marekani waunde ushirika. ALianzia North Korea, na sasa kaingia Iran. Alijaribu China wakamtolea mbali. Anataka naye awe na NATO yake baada ya kugundua kuwa ile aliyounda miaka ile haina nguvu na wanamkimbia mmoja mmoja. Aliiacha Syria ikaanguka, sasa hivi ameiacha Armenia nayo iko matatizoni kwani hana uwezo wa kuhimili mapambao ya dimansion kubwa.
Yaani Marekani, Israel na wajanja wote wa magharibi wasijue eti wewe kapuku wa hapo Manzese kwa Mfuga Mbwa 🐕 unayeshindia uji kwa magimbi ndio ujue...🤣🤣🤣🤣Mkuu Iran ana makombora ya nuclear.. hawajaweka wazi lakini jamaa wana nuclear, na wanayo miaka mingi sana nyuma..
Hakuna anayejua huko kwenye hivyo vinu chini ya milima wamefikia uwezo upi, lakini wanafanya majaribio ya siri..
Lakini level ya urutubishaji ya uranium yao ni stage ya kutoa nuclear bomb..
Yan wew mmatumbi umeweza kujua siri hii ila mossad, na CIA bado hawajuiMkuu Iran ana makombora ya nuclear.. hawajaweka wazi lakini jamaa wana nuclear, na wanayo miaka mingi sana nyuma..
Hakuna anayejua huko kwenye hivyo vinu chini ya milima wamefikia uwezo upi, lakini wanafanya majaribio ya siri..
Lakini level ya urutubishaji ya uranium yao ni stage ya kutoa nuclear bomb..
Ukitupatia na evidence...........utakuwa umetisha sana......... yaani kiduku arushe kombola texas harafu us wamuachie?? Pale Guam kuna madude ya kutisha sana siku kiduku akianzisha silaha hazitoki marekani bara zitatoka Guam tu na north Korea itakuwa haipo duniani tena.............Guam wapo standby wakisubilia kipenga kianzeUrusi ampatie haraka Iran Nuclear
Wanamsumbua sana Iran sababu wanajua Hana huo mzigo
Awamu iliyopita ya trump,
Kiduku walipiga sana KELELE na kupeleka vikosi kibao S.korea wakimtisha kumvamia kijeshi
Mwishowe trump akasalimu baada ya kiduku kurusha KOMBORA Tupu jangwani Texas likitokea Moja Kwa Moja Pyongyang.
Na akaweka wazi kua lilirushwa maksudi bila Nuclear warhead, Ila uchokozi WA Trump ukizidi, atafunga nuclear warhead na kulitupia NEW YORK CITY.
TRUMP AKASEMA ATAJIBU NA MAJIBU YAKE YATAKUA YAKUSIKITISHA NA KUOGOFYA SANA
Mpaka trump anatoka madarakani hakujibu, na HAJAWAHI KUJIBU kabisa Hata saivi alivyorudi madarakani.😀
Tupe mifano hai miwili ya uongo wake... Trump arudishe tu yale makunguru yake aliyopeleka kule kumtisha Iran
Ndio zile drone 300 zilizotumika kuishambulia Israel kabla ya makombora 180?.Ni sahihi na hilo kalithibitisha kwenye hii vita ya Ukraine.
Kiukweli zile drones za Iran zimefanya maajabu kule Ukraine..
Mkuu,Unaifshamu Urusi Kuliko Wao Wenyewe.
Allah kapata mshirika😀🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇮🇷🇮🇷🇮🇷🇮🇷
Bunge la shirikisho la Russia (DUMA) limepitisha na kuongeza muda wa ushirikiano wa Kijeshi na Iran ikiwa na vipengele vya kuingilia Vita yoyote endapo mshirika atashambuliwa na Taifa lolote.
==================
The Russian State Duma announced the ratification of the agreement on a comprehensive strategic partnership between Russia and Iran for a period of 20 years.
— The agreement provides for consultations and cooperation in the area of countering military and security threats, conducting joint military exercises both on the territory of the two countries and beyond, as well as coordinating positions in response to any threats that both countries may face.
View attachment 3298277
Uongo mtupu huu.Mkuu Iran ana makombora ya nuclear.. hawajaweka wazi lakini jamaa wana nuclear, na wanayo miaka mingi sana nyuma..
Hakuna anayejua huko kwenye hivyo vinu chini ya milima wamefikia uwezo upi, lakini wanafanya majaribio ya siri..
Lakini level ya urutubishaji ya uranium yao ni stage ya kutoa nuclear bomb..
Roho nyeusi fii, una chuki na uislamu wazi wazi, haukutoki mdomoni, mada si uislamu wala dini lakini tayari ushaanza ku mchafua AllahAllah kapata mshirika😀
Kwani unadhani ilikuwa inampa bure zile drones?Iran imempiga tafu sana Russia kwenye vita ya Ukraine.
Hii imepelekea Russia kumchukulia Iran kama mshirika wake.
mi naona ni zuga tu, iran ikivamiwa itanyukwa na russia haitaingilia katiWewe unaonaje
Allah ana mashetaniRoho nyeusi fii, una chuki na uislamu wazi wazi, haukutoki mdomoni, mada si uislamu wala dini lakini tayari ushaanza ku mchafua Allah
Uwongo mwingi sana, hakuna nchi inayoweza kurusha makombora marekani ikaachwa ivi ivi ndugu. North Korea hawana uwezo wa kurusha makombora marekani ikaachwa ivi ivi iviUrusi ampatie haraka Iran Nuclear
Wanamsumbua sana Iran sababu wanajua Hana huo mzigo
Awamu iliyopita ya trump,
Kiduku walipiga sana KELELE na kupeleka vikosi kibao S.korea wakimtisha kumvamia kijeshi
Mwishowe trump akasalimu baada ya kiduku kurusha KOMBORA Tupu jangwani Texas likitokea Moja Kwa Moja Pyongyang.
Na akaweka wazi kua lilirushwa maksudi bila Nuclear warhead, Ila uchokozi WA Trump ukizidi, atafunga nuclear warhead na kulitupia NEW YORK CITY.
TRUMP AKASEMA ATAJIBU NA MAJIBU YAKE YATAKUA YAKUSIKITISHA NA KUOGOFYA SANA
Mpaka trump anatoka madarakani hakujibu, na HAJAWAHI KUJIBU kabisa Hata saivi alivyorudi madarakani.😀
Hata Kama una chuki kali kiasi gani lakini dini ya kweli ni uislamu tu,Allah ana mashetani
Si Russia peke yake bali hata Marekani hawa wote daima wako hapo kulinda maslahi yao na wala si vinginevyo wako tayari wakuzuge kwa muda baadaye wanaendelea wanakuacha njia panda. Russia yeye ndiye baba wa waongo wote duniani.
Ki vipi? Fafanua!!Hujui hata usemalo