Russia-Ukraine War: Makombora ya Russia yapiga hospitali ya watoto wanaougua kansa Ukraine

Russia-Ukraine War: Makombora ya Russia yapiga hospitali ya watoto wanaougua kansa Ukraine

Russia naye zamu yake inakuja sio muda mrefu tutarudi tu tena hapa.
 
Si pro russia husema putin anapiga kambi za jeshi why leo putinnya anapiga hospital tena ya watoto, kama yeye mwamba🤣😂
Mashambulizi yanaelekezwa kwenye target si tu hosp za watoto hata shule wanajeshi wakigeuza mortuary kuwa ghala la silaha basi kinzal hypersonic missile itatua kwenye utosi wa marehemu au wanajeshi kujichanganya na wodi ya wagonjwa usishangae kuona mgonjwa kapaishwa na dripu hewani na haka kamchezo ka wanajeshi wa Ukraine kujificha kwenye maeneo haya kalianza baada ya kambi nyingi za jeshi na maghala ya silaha kugeuzwa majivu.
Ikumbukwe kuwa ukraine ilikuwa sehem ya urusi (wakati wa USSR) hivyo ukraine ipo uchi mbele ya urusi ndo maana baadhi ya brigade za ukraine zinashambulia wanajeshi wa urusi wakiwa wamejificha mortuary wengine makaburini hadi ICU sasa warusi wanashambulia yanakotoka mashambulizi kwa hiyo ukiona kinzal missile imetua makaburini achaneni na propaganda kwamba urusi inapiga marehemu
 
Tunasema kila siku humu Ukraine ni mchumba tu kwa Urusi..ni vile Urusi wanajitahidi kwenda polepole na kwa tahadhari..otherwise miji ya Ukraine na watu mamillioni wangekufa.
Mzigo mmoja tu..watu wanalia..vyuma vikitoka vyote nchi si haitakalika??
 
Unajiona mwamba kwa kuua watoto?! Tena wenye kansa..
 
Mashambulizi yanaelekezwa kwenye target si tu hosp za watoto hata shule wanajeshi wakigeuza mortuary kuwa ghala la silaha basi kinzal hypersonic missile itatua kwenye utosi wa marehemu au wanajeshi kujichanganya na wodi ya wagonjwa usishangae kuona mgonjwa kapaishwa na dripu hewani na haka kamchezo ka wanajeshi wa Ukraine kujificha kwenye maeneo haya kalianza baada ya kambi nyingi za jeshi na maghala ya silaha kugeuzwa majivu.
Ikumbukwe kuwa ukraine ilikuwa sehem ya urusi (wakati wa USSR) hivyo ukraine ipo uchi mbele ya urusi ndo maana baadhi ya brigade za ukraine zinashambulia wanajeshi wa urusi wakiwa wamejificha mortuary wengine makaburini hadi ICU sasa warusi wanashambulia yanakotoka mashambulizi kwa hiyo ukiona kinzal missile imetua makaburini achaneni na propaganda kwamba urusi inapiga marehemu
Sawa tumekusikia jihadist, sasa kwa wale magaidi wa Hamas wanaojificha miongoni mwa wanawake na watoto hilo unalizungumziaje shehe.
 
Si pro russia husema putin anapiga kambi za jeshi why leo putinnya anapiga hospital tena ya watoto, kama yeye mwamba🤣😂
Tumagundua kua munaanzisha mashambulizi kutokea hapo mloganzila (hospital) hivyo
tegemeeni hata mukitumia soko la Temeke sterio kuanzishia mashambulizi yenu, nalo tutalilipua tu.
 
Kremlin responds to Kiev hospital attack allegations

Russian forces do not target civilian infrastructure in Ukraine, spokesman Dmitry Peskov has stressed
Kremlin responds to Kiev hospital attack allegations
Destroyed building of the Okhmatdet children's hospital in Kiev © Getty Images / Sergei Chuzavkov; SOPA Images; LightRocket
Moscow has vehemently denied responsibility for the tragedy at the Okhmatdet children’s hospital in Kiev, after a missile hit the facility on Monday. Kremlin spokesman Dmitry Peskov has insisted that the incident was caused by a Ukrainian air defense missile.

Speaking to reporters on Tuesday, Peskov stressed that Russia “does not strike civilian targets” and that all strikes carried out by the Russian military are exclusively aimed at “critical infrastructure facilities and military targets that are somehow related to the regime’s military potential.”

Regarding Ukraine’s accusations that Moscow intentionally hit the hospital in Kiev, Peskov pointed to the official statement by the Russian Defense Ministry, which “absolutely rules out that there were strikes on any civilian targets. It states that we are talking about the fall of an anti-missile.”

The Russian Defense Ministry reported on Monday that it had conducted a large-scale attack using long-range high-precision weapons to strike Ukrainian military industry facilities and aviation bases. The attack was said to be in response to Kiev’s continued attempts to cause damage to Russian energy and economic facilities.

The ministry stated that all the intended targets were hit and rejected Kiev’s claims of Russian missiles striking civilian facilities as “absolutely untrue.”

“Numerous published photos and video footage from Kiev clearly confirm the fact of destruction due to the fall of a Ukrainian air defense missile launched from an anti-aircraft missile system within the city,” the ministry said.
 
Okhmatdyt hospital iliyoko Kiev, ni moja ya hospitali kubwa Ulaya maalumu kwa ajili ya watoto wanaougua kansa.

Ifike wakati Zelensky akubali kushindwa tu.

Before
View attachment 3036563

After
View attachment 3036564View attachment 3036565View attachment 3036566View attachment 3036567
View attachment 3036568
Mkuu, usibweteke na hiyo propaganda ya Ukraine na nchi za magharibi.

Russia hawawezi kupiga makombora hospitali.

Hiyo hospitali imedunguliwa na makombora ya AD ya Ukraine yalokuwa yakijibu mapigo ya Russia na ndo yakadondokea kwenye hiyo hospitali.

Jeshi la anga la Russia likuwa na shughuli ya kuharibu mabohari yalosheheni silaha za kila aina zikiwemo za Strom Shadow.

Sema hilo eneo la viwanda au Industrial Complex lipo karibu na hiyo hospitali.

Pia wahandisi wa kigeni walokuwa wakitayarisha silaha hizo wote wameuawa.
 
Back
Top Bottom