Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Russia atakapokula kichapo putinnya utamsikia akilalama russia ina nyuklia, russia ina nyuklia🤣😂Russia naye zamu yake inakuja sio muda mrefu tutarudi tu tena hapa.
Mashambulizi yanaelekezwa kwenye target si tu hosp za watoto hata shule wanajeshi wakigeuza mortuary kuwa ghala la silaha basi kinzal hypersonic missile itatua kwenye utosi wa marehemu au wanajeshi kujichanganya na wodi ya wagonjwa usishangae kuona mgonjwa kapaishwa na dripu hewani na haka kamchezo ka wanajeshi wa Ukraine kujificha kwenye maeneo haya kalianza baada ya kambi nyingi za jeshi na maghala ya silaha kugeuzwa majivu.Si pro russia husema putin anapiga kambi za jeshi why leo putinnya anapiga hospital tena ya watoto, kama yeye mwamba🤣😂
Tunasema kila siku humu Ukraine ni mchumba tu kwa Urusi..ni vile Urusi wanajitahidi kwenda polepole na kwa tahadhari..otherwise miji ya Ukraine na watu mamillioni wangekufa.
Mzigo mmoja tu..watu wanalia..vyuma vikitoka vyote nchi si haitakalika??
Unajiona mwamba kwa kuua watoto?! Tena wenye kansa..Tunasema kila siku humu Ukraine ni mchumba tu kwa Urusi..ni vile Urusi wanajitahidi kwenda polepole na kwa tahadhari..otherwise miji ya Ukraine na watu mamillioni wangekufa.
Mzigo mmoja tu..watu wanalia..vyuma vikitoka vyote nchi si haitakalika??
Sawa tumekusikia jihadist, sasa kwa wale magaidi wa Hamas wanaojificha miongoni mwa wanawake na watoto hilo unalizungumziaje shehe.Mashambulizi yanaelekezwa kwenye target si tu hosp za watoto hata shule wanajeshi wakigeuza mortuary kuwa ghala la silaha basi kinzal hypersonic missile itatua kwenye utosi wa marehemu au wanajeshi kujichanganya na wodi ya wagonjwa usishangae kuona mgonjwa kapaishwa na dripu hewani na haka kamchezo ka wanajeshi wa Ukraine kujificha kwenye maeneo haya kalianza baada ya kambi nyingi za jeshi na maghala ya silaha kugeuzwa majivu.
Ikumbukwe kuwa ukraine ilikuwa sehem ya urusi (wakati wa USSR) hivyo ukraine ipo uchi mbele ya urusi ndo maana baadhi ya brigade za ukraine zinashambulia wanajeshi wa urusi wakiwa wamejificha mortuary wengine makaburini hadi ICU sasa warusi wanashambulia yanakotoka mashambulizi kwa hiyo ukiona kinzal missile imetua makaburini achaneni na propaganda kwamba urusi inapiga marehemu
Kwahiyo ni hata Netanyahu ni sawa akipiga hospitals kwasababu Hamas wamo humo na wanaficha silaha?Walificha Silaha humo eeh sawasawa Putin gooo!
Tumagundua kua munaanzisha mashambulizi kutokea hapo mloganzila (hospital) hivyoSi pro russia husema putin anapiga kambi za jeshi why leo putinnya anapiga hospital tena ya watoto, kama yeye mwamba🤣😂
Uliwahi kuwaona ewe lgbtq+🤔?Sawa tumekusikia jihadist, sasa kwa wale magaidi wa Hamas wanaojificha miongoni mwa wanawake na watoto hilo unalizungumziaje shehe.
MuuajiOkhmatdyt hospital iliyoko Kiev, pia ni moja ya hospitali kubwa Ulaya kwa watoto wanaougua kansa.
Ifike wakati Zelensky akubali kushindwa tu.
Before
View attachment 3036563
After
View attachment 3036564View attachment 3036565View attachment 3036566View attachment 3036567
View attachment 3036568
Hivi bado zele ana matumaini ya kushinda
Jibu swali mbona unakwepa na kuleta yasiyohusika. Lgbtq mbona unawapenda sana kuwataja taja uoni muhali.Uliwahi kuwaona ewe lgbtq+🤔?
Mkuu, usibweteke na hiyo propaganda ya Ukraine na nchi za magharibi.Okhmatdyt hospital iliyoko Kiev, ni moja ya hospitali kubwa Ulaya maalumu kwa ajili ya watoto wanaougua kansa.
Ifike wakati Zelensky akubali kushindwa tu.
Before
View attachment 3036563
After
View attachment 3036564View attachment 3036565View attachment 3036566View attachment 3036567
View attachment 3036568