Russia Vs Ukraine hakuna mshindi wa Vita ila kwa Haraka Urusi amepoteza in reality

Russia Vs Ukraine hakuna mshindi wa Vita ila kwa Haraka Urusi amepoteza in reality

Russia wamekubali Ulinzi wa Ukraine utakuwa chini ya Nchi kadhaa ikiwemo Turkey ambayo ni member wa NATO... Sasa what's the point ya kuivamia Ukraine in first place?

point ni kuwa mwanachama wa nato na sio kuwa chini ya mshilika wa nato, na hicho russia wamefanikiwa,
 
Tuangalie kuanguka kwa fedha ya Russia na michezo ya kitoto ya majuha wa NATO na US. Vikwazo vilikuwa sawa na kujipiga risasi mguuniView attachment 2171839
C9C90CB3-2E01-476B-8752-EC21B170BE8D.png



Ruble ni 84+
 
RUSSIA kapoteza kwamba wewe uko uwanja wa vita(UKRAINE) ukishuhudia RUSSIA akipambana na nchi zaidi ya 30(NATO) huku akiwa na vikwazo vya kiuchumi au unaleta matokeo ukiwa kwenye sofa nyumbani kwako ukishushia kinywaji baridi taratiiibu [emoji848]
Umesoma uzi wote lakini?
 
Ukraine ana 72Trilions za Kuijenga nchi yake Upya ziko mkononi kwa Kutoka America Na washirika , alafu sehemu Ilo vanima Ukraine haifikii hata Nusu Ya miundombinu Ya Ukraine Majimbo yaliyo athirika Sana ni Yale Ya Mauripolo, Summy , Kharkiv Na Iripina Na Bucha Pia Na Viwanda tu Vya ndege Na Kambi za jeshi, Ukraine kapoteza kwa miundombinu sawa ila siyo Kwamba hatajenga,

Jana Zelensky katangaza kwa kila mu Ukriane alopatwa Na Janga watalipwa ndani Ya miezi miwili wajiandae Baada Ya Vita,

Kapoteza ndege Yao Ya Mirya Antonov ndo suala wanaloona ni pigo kubwa Sana
Daah AN-225 imeniuma sana ile ndege...It was a mighty ikitukumbusha enzi za Soviet Union.
 
Ni mwehu tu aliyekuwa na mawazo ya kuwa Putin angeshinda ...!! Kuna Siri kubwa Sana kwenye Taifa la USA hao ni zaidi ya Taifa watu waelewe hvyo ...!!!

Kuna vitu Russia amekutana navyo UKRAINE ambazo ni something stranger , unashangaa Tu hata vifaru havifanyi kazi mara vina-nock down , the same thing hii Hali alikumbana nayo Japan battle of Midway against US..
Na hapo Mkuu US waliondoa baadhi ya components kwenye silaha walizo wapelekea Ukraine ili technology yao isijekuangukia mikononi mwa Russia. US wapo mbali mno hata Russia wenyewe wanajua ndiyo maana mara nyingi Putin anatiashia nuclear kwa sababu anajua kwa silaha za kawaida bado yupo nyuma.
 
Ni mwehu tu aliyekuwa na mawazo ya kuwa Putin angeshinda ...!! Kuna Siri kubwa Sana kwenye Taifa la USA hao ni zaidi ya Taifa watu waelewe hvyo ...!!!

Kuna vitu Russia amekutana navyo UKRAINE ambazo ni something stranger , unashangaa Tu hata vifaru havifanyi kazi mara vina-nock down , the same thing hii Hali alikumbana nayo Japan battle of Midway against US..
Mkuu kuhusu vifaru mimi sikujua kama kuna watu wana teknolojia ya kuweza kuvizima kirahisi tu. Kupitia vita hii nimekuja kuelewa Javellin ni nini.

Nimeshangaa kuona imetokea UK. Hii ikanifanya niamini kuwa, Ukraine angekuwa na ndo UK au France, Russia angechapika saana, na mpaka sasa angekimbilia ktk Nuclear.
 
ukifikiria nje ya box utagundua huu uzi wa huyu BRITANICCA ni moja ya mikakati ya Propaganda mfu za kudanganya dunia.
Amekuja na kisingizio cha Uchambuzi lakini uhalisia ni uzi wa PROPAGANDA MFU DHIDI YA RUSSIA. Ni Uzi maalum wa kuichafua Russia.
Na hii sio hapa tu ni Dunia nzima kuna watu wamepewa hii kaz. Fun enough na Moderator kampa Uzi ujitegemee wakati nyingi sana zinazo balance amekuwa akiziunga mwenye uzi wa Mwanzo.

Hebu mtu alete Uzi kama huu unao propagate negatively issue za West/NATO kama utaachwa ujitegemee.
uzi huo upo kaandika Yericko Nyerere
 
Back
Top Bottom