Russia Vs Ukraine hakuna mshindi wa Vita ila kwa Haraka Urusi amepoteza in reality

Russia wamekubali Ulinzi wa Ukraine utakuwa chini ya Nchi kadhaa ikiwemo Turkey ambayo ni member wa NATO... Sasa what's the point ya kuivamia Ukraine in first place?

point ni kuwa mwanachama wa nato na sio kuwa chini ya mshilika wa nato, na hicho russia wamefanikiwa,
 
RUSSIA kapoteza kwamba wewe uko uwanja wa vita(UKRAINE) ukishuhudia RUSSIA akipambana na nchi zaidi ya 30(NATO) huku akiwa na vikwazo vya kiuchumi au unaleta matokeo ukiwa kwenye sofa nyumbani kwako ukishushia kinywaji baridi taratiiibu [emoji848]
Umesoma uzi wote lakini?
 
Daah AN-225 imeniuma sana ile ndege...It was a mighty ikitukumbusha enzi za Soviet Union.
 
Na hapo Mkuu US waliondoa baadhi ya components kwenye silaha walizo wapelekea Ukraine ili technology yao isijekuangukia mikononi mwa Russia. US wapo mbali mno hata Russia wenyewe wanajua ndiyo maana mara nyingi Putin anatiashia nuclear kwa sababu anajua kwa silaha za kawaida bado yupo nyuma.
 
Mkuu kuhusu vifaru mimi sikujua kama kuna watu wana teknolojia ya kuweza kuvizima kirahisi tu. Kupitia vita hii nimekuja kuelewa Javellin ni nini.

Nimeshangaa kuona imetokea UK. Hii ikanifanya niamini kuwa, Ukraine angekuwa na ndo UK au France, Russia angechapika saana, na mpaka sasa angekimbilia ktk Nuclear.
 
uzi huo upo kaandika Yericko Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…