Russia Vs Ukraine hakuna mshindi wa Vita ila kwa Haraka Urusi amepoteza in reality

According to Kremlin, the first phase of military operation is about 100 percent complete, what if they are preparing for attacks in Donbas region.

Labda wanajeshi wa urusi washakamilisha waliyoendea sasa wanarudi kuconcentrate na eneo lingine napo utasema wame backslide ???

Anyway urusi hii operesheni imemgharimu sana, the second phase of operation should be somehow better than....
 
Hata wewe hujui huo mgogoro kwahiyo usijifanye unajua sana.mswahili bana upo bongo maneno mengi sana utadhani ni raia wa Russia au Ukraine.subiri vita iishe pia mwendazake aliongea vizuri sana wacha wapigane tufanye biashara.Toa wayfoward watanzania tunatokaje hapa tulipokwama.
 
Umeshaambiwa wataijenga nchi yao na pesa wanazo, Hasara kwa waliokufa hawataweza kufufka.
 
Hiyo miji waliyo occupy Ukraine siyo kwa sababu urusi alizidiwa, no ila alitangaza kuondoa majeshi yake na kuelekea mashariki kulinda Donbas na Luhansk, kwa maelezo kuwa operation namba moja ya kui-demilitarize Ukraine imefikiwa na kilichobaki na kuangazia phase II ambayo ni kulinda majimbo hayo yaliyo jitenga.

Mengine uliyoandika ni ushabiki zaidi na kuwahadaa watu juu ya uhalisia.
 
Umeipata hii kuwa wana propaganda wanaidai Urusi 1Biln kwa sababu wamefanya kazi kubwa? Hapa Sputnuk
Alafu mengine huku bwana
Dmitry Nizovtsev anafanya special operatsioon kwenye yacht ya Deputy Sablin

Uko wapi wewe au uko Mosko Ya KINONDONI haha
acha kudanganya watu mkuu,Kuna a friend of mine,yuko mosco ,unachokiongea ni tofauti kabisa ,watu Wana kula good time tu !! hata wa Ukraine waliokimbilia urusi wanasema wako mahali safe kwa Sasa ,na maisha yanaendelea ,wa Ukraine ambao walikuwa vyuo,urusi imewapa Uhuru wanaweza ku join vyuo vya urusi pasipo masharti .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndiyo ukweli wenyewe na siyo hizo propaganda za britanicca kuwa eti Ukraine kakomboa miji. Unakomboa miji baada ya wanajeshi kuondoka na kuelekea mwingine!?? Uchambuzi mahaba huu.
 
mkuu we lete habari za nani kapigwa nani anamdunda nani ndo mtaelewana lasivyo utagombana na watu humu, watu tulibshana nkawawekea hadi link ya state media ya nchi wanayoishabikia ikiripoti jambo husika lkn waapi nkapata article kutoka umoja wa wa wataalamu wa taaluma husika kutoka hiohio nchi wanayoishabikia nkawekea link lkn wakaendelea kubisha duh!
 
Dah Urusi anajidhalilisha sana.Yaani sawasawa na enzi zile Tyson atolewe jasho na Matumla🤔
 
acha wafe kwanza wamekufa wachache sanaaaaa
 
Lakini proPutin hata kidogo jaribuni kuwa waungwana na wakweli.
Leo ni siku ya 37 Toka vita vianze Putin Bado hajauona mwezi kuingia Kyv🤔
 
Habari za kwenye vijiwe vya kahawa
RUSSIA kapoteza kwamba wewe uko uwanja wa vita(UKRAINE) ukishuhudia RUSSIA akipambana na nchi zaidi ya 30(NATO) huku akiwa na vikwazo vya kiuchumi au unaleta matokeo ukiwa kwenye sofa nyumbani kwako ukishushia kinywaji baridi taratiiibu [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…