Russia Vs Ukraine hakuna mshindi wa Vita ila kwa Haraka Urusi amepoteza in reality

Ukienda facebook kwa yericko nyerere kashapoteza legacy yake kisa urusi ,haaminiki tena watu wanamponda balaa,alikuwa anajiita mtetea uhuru kumbe wapi sijui kisa alisoma urusi
 
Ukienda facebook kwa yericko nyerere kashapoteza legacy yake kisa urusi ,haaminiki tena watu wanamponda balaa,alikuwa anajiita mtetea uhuru kumbe wapi sijui kisa alisoma urusi
Facebook nshatoka Kitambo sana Yericko nacho Muheshimu akishawapa matango Pori yake wala haji kujibu Kama alivyodanganya Umma eti Putin kaishi Bagamoyo Haha
 
Mkuu, kuna sehemu umedokeza kuwa Abrahamovich alipewa sumu kule Belarus. Je ktk majadiliano yale yeye yuko upande gani, hata asumishwe na wa Russia.
Alipewa na warusi japo haijajulikana why
 
Umefanya analysis kama mtoto wa chekechea, leta facts ambazo ni well balanced kuprove wrong, harafu unapaswa kujua propaganda ni silaha ya ushindi ndani na nje ya vita.
 
Sawasawa
 
Umefanya analysis kama mtoto wa chekechea, leta facts ambazo ni well balanced kuprove wrong, harafu unapaswa kujua propaganda ni silaha ya ushindi ndani na nje ya vita.
Tatizo huyo Britannica Mwenyewe facts zake haziko balanced , hoja zake kazipamba kuwafurahisha Pro NATO. Hivyo Msichukie wengine tunapokosoa.
 
Uzi wa ovyo kuwahi kutokea.

Ila sishangai leo ni siku yenu. Mjinafasi hadi saa sitt usiku.
Hamchoki tu kutoa deadline? Nilidhani baada ya funzo la 'special operation ya 72hrs' kufail mgekuwa mmejifunza kitu.Haya leo ni Jumapili kuna nini cha ajabu kimetokea tangu Friday saa sita usiku zaidi ya majeshi ya Russia kuzidi kurudishwa nyuma.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Utazani wao wanapigana, Kila siku deadline inaongezeka muda
 
Ulaya wana msiba mkubwa mpaka sasa. Achana na CNN na BBC, tafuta vyanzo vya uhakika
Unaonaje ukiviweka hapa hivyo vyanzo vyako vya uhakika? Yani unapinga kwa maneno matupu na unataka tukuamini
 
Huu uzi wakupuuzwa kabisaaa
Unataka kufail Mkuu,inakuwaje huwezi ruhusu masikio yako yapokee kile usichopenda kukisikia pia ili upate kujifunza? Tuupuuze huu uzi halafu tusome nini,basi tuletee uzi wako ili tupuuze huu🙂
 
Russia mnahisi amepoteza sababu mnamatarajio kwamba faster tu kamaliza mchezo...

Vita ya faster duniani ni moja tu, kati ya Muingereza na Mzanzibari...
Lakini Kremlin ilisema hii ni 'special operation' ya muda mfupi tu,au kwa sasa na wao wanakiri hii ni Total War?
 
Mpka sasa ukrein imekubali kufwata mapendekezo yote ya russia ikiwa ni kutojiunga na nato na hicho hasa ndicho russia walikuwa wanakitaka,[emoji635]
Hizi sasa porojo,watu wanarudisha nyuma majeshi baada ya kuzidiwa wewe una sugarcoat kukubaliwa masharti🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…