Denmark jamani iko undermined ila naitabiria mema mwaka huu..... Yaani winga ya chini unamkuta mzee victor Fischer winga ya juu unamkuta blaki pione sisto hapo kati eriksen na schone mbele kuna kasper dolberg wa ajax....defence ndio kabisaaa tuna christensen wa chelsea na vestergaard wa borussia eeh bhana kwa wanaofuatilia soka hiki kikosi hakina majina ila ni kikali mnoooo..... Hapo msisahau Krohn dehli na kjaer wanapanda na kushuka huku striker mkali kabisa wa RB leipzig yousef poulsen akichokoza defence za maadui...... Patakua hapatoshi kabisa
Dah hatari sana hiki kikosi..... Nlikuwa nawakubali sana croatia ila baada ya kuona wanakumbatia wazee na kutosa vijana wenye vipaji kama Alen halilovic nikajua basi tena hawafiki kokote mwaka huu wamejichanganya wenyewe
Anyway tusubiri mtanange nione hivi vitimu vyangu vitafika wapi