Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we baki uko mm nipo kwa ronaldo ba mkwe
Utaumia roho bure mama mkwe njoo kwetu Mpira kwanza hamna kugusana ni mpira tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ba mkwe si unajua sina team moja list yangu umeiona sidhani kama team zote hizo zitaniumiza
Utaumia roho bure mama mkwe njoo kwetu Mpira kwanza hamna kugusana ni mpira tu
 
Denmark jamani iko undermined ila naitabiria mema mwaka huu..... Yaani winga ya chini unamkuta mzee victor Fischer winga ya juu unamkuta blaki pione sisto hapo kati eriksen na schone mbele kuna kasper dolberg wa ajax....defence ndio kabisaaa tuna christensen wa chelsea na vestergaard wa borussia eeh bhana kwa wanaofuatilia soka hiki kikosi hakina majina ila ni kikali mnoooo..... Hapo msisahau Krohn dehli na kjaer wanapanda na kushuka huku striker mkali kabisa wa RB leipzig yousef poulsen akichokoza defence za maadui...... Patakua hapatoshi kabisa

Dah hatari sana hiki kikosi..... Nlikuwa nawakubali sana croatia ila baada ya kuona wanakumbatia wazee na kutosa vijana wenye vipaji kama Alen halilovic nikajua basi tena hawafiki kokote mwaka huu wamejichanganya wenyewe

Anyway tusubiri mtanange nione hivi vitimu vyangu vitafika wapi
 
Upinzani uliopitiliza kati ya vilabu vya Partiza Belgrade na Dyinamo Zagreb ulichachangia pajubwa nchi za Serbia na Croatia kutengana so ntafurahi kama Serbia na Croatia watakutana katika hatua yoyote ya mtoano naamini itakua ni bonge la game
 
Back
Top Bottom