Russia yasema Makombora yaliyopelekwa na Uingereza Ukraine ni uchokozi na itachochea vita kusambaaa.

Russia yasema Makombora yaliyopelekwa na Uingereza Ukraine ni uchokozi na itachochea vita kusambaaa.

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Waziri wa Ulinzi wa Urusi kasema kitendo cha Uingereza kupeleka makombora yake yenye uwezo wa kupiga umbali wa kilomita 250, ni kitendo kikubwa cha kichokozi na kinaweza kuchochea vita hiyo kusambaa.

Urusi imetishia kutumia kila njia kuzima jaribio lolote la kutumiwa makombora hayo yakiwa ndani ya Ardhi ya Ukraine.
 
Waziri wa Ulinzi wa Urusi kasema kitendo cha Uingereza kupeleka makombora yake yenye uwezo wa kupiga umbali wa kilomita 250, ni kitendo kikubwa cha kichokozi na kinaweza kuchochea vita hiyo kusambaa.

Urusi imetishia kila njia kuzima jaribio lolote la kutumiwa makombora hayo yakiwa ndani ya Ardhi ya Ukraine.
If you liv in glass house dont throw stones

Russia kila siku malalamiko.
 
Waziri wa Ulinzi wa Urusi kasema kitendo cha Uingereza kupeleka makombora yake yenye uwezo wa kupiga umbali wa kilomita 250, ni kitendo kikubwa cha kichokozi na kinaweza kuchochea vita hiyo kusambaa.

Urusi imetishia kila njia kuzima jaribio lolote la kutumiwa makombora hayo yakiwa ndani ya Ardhi ya Ukraine.
Kwa hiyo hana mpango tena wa kushambulia nchi inayotoa hizo silaha?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Waziri wa Ulinzi wa Urusi kasema kitendo cha Uingereza kupeleka makombora yake yenye uwezo wa kupiga umbali wa kilomita 250, ni kitendo kikubwa cha kichokozi na kinaweza kuchochea vita hiyo kusambaa.

Urusi imetishia kila njia kuzima jaribio lolote la kutumiwa makombora hayo yakiwa ndani ya Ardhi ya Ukraine.
Screenshot_20230506-181514_Quora.jpg
 
Sikuwahi kufikiri Putin ni fala na mtu wa kulia lia, zamani kila movie wana act Russian mafia, Russian Mafia, Hakuna mafia Russia.
Uwezi amin nikisema kuwa Urusi ilikuwa hyped na wamarekani wenyewe.
Majeneral wengi wa Us walikuwa wakiandika vitabu, makala kuelezea vile Urus ilivyo powerful kinyume na
Uhalisia. Dhumni lao ili serikali yao iongeze bajeti kubwa kwa jeshi.
Hali hiyo hiyo ilipeleka hadi movie zikaingia kwenye kui- hype Urus ama mtu yoyote anaetoka Urusi upewa kucheza nafasi tata katika movie.
Machapisho mengi ya usupa Pawa wa Urus yameqndikwa na wamarekani wenyewe ni the same kuhusu uchumi wa china ukifuatilia wachambuzi nguri wanaoi- hype China ni wamarekani wenyewe.
 
warusi wa kwa mpalange wanaanza kuadimika.,tutaelewana tu taratibu, tuliwaambia tangu mwanzo anachofanya Putin ni udhalimu,na udhalimu haujawai kushinda..,kama marekani alivyofanya udhalimu kule Vietnam na kuishia kufukuzwa kama mbwa mwizi pamoja na teknolojia yote aliyokuwa nayo!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kila wakati Mrusi anatishia kutumia Nyukilia. Na mashabiki wa humu wanaichukulia Marekani poa sana.

Yaani kila nchi ya NATO huwa kwanza inawasiliana na Marekani kabla ya kufanya mambo ya kijeshi halafu mtu anaichukulia US ni nchi dhaifu kijeshi.
Anayeichukulia Us poa ni wale wanywa Alikasusu kijiweni huku wakijadili vita.
 
Back
Top Bottom