Russia yasema Makombora yaliyopelekwa na Uingereza Ukraine ni uchokozi na itachochea vita kusambaaa.

Uchumi wa Russia unazidi kuimalika siku hadi siku uwe unaangalia machapisho na vipeperushi vya uchumi duniani, siyo kuangalia picha za uchi mitandaoni.
Endelea kujidanganya
 
We jamaa hata sijakuelewa unataka kusema nini. Mbona huyo unayemsema anawafanyia timing ......ameomba msaada tena kwa aibu kubwa kutoka kwa Msauzi(South Africa)?? Inanishangaza unaposema troops wa NATO cjui USA n.k. n.k. ndio wanaopigana na Mrusi kana kwamba Ukrainian troops wamejipumzikia zao tu na unasahau kwamba huko upande mwingine (Rusia)wapo Wagners, Belarus, Chechen, Waafrika kutoka Namibia au Angola n.k. n.k. Je, hao wanafanya nini Ukraine na silaha zao?? Wanaigiza mchezo wa kuua WanaUkraine siyo?? Kututajia habari za miaka ya naintin kweusi...... huko hakutusaidii i.e. haina maana kwamba historia itajirudia- sahau. Sipendi vita ila pia sipendi uonevu. Haki itatamalaki.
Nchi ya kidemocrasia haiwezi toa wananchi wake na jeshi lake likapiganie vita ambayo haipo kiserekali, hyo ni Transparency, wenye uwezo wa kufanya hvyo ni minchi ya kidectator
 
Mbulula kweli America+ NATO walivyoshambulia Iraq, Libya, Afghanistan, Syria siyo nchi za kidemokrasia.
 
We jamaa hata sijakuelewa unataka kusema nini. Mbona huyo unayemsema anawafanyia timing ......ameomba msaada tena kwa aibu kubwa kutoka kwa Msauzi(South Africa)?? Inanishangaza unaposema troops wa NATO cjui USA n.k. n.k. ndio wanaopigana na Mrusi kana kwamba Ukrainian troops wamejipumzikia zao tu na unasahau kwamba huko upande mwingine (Rusia)wapo Wagners, Belarus, Chechen, Waafrika kutoka Namibia au Angola n.k. n.k. Je, hao wanafanya nini Ukraine na silaha zao?? Wanaigiza mchezo wa kuua WanaUkraine siyo?? Kututajia habari za miaka ya naintin kweusi...... huko hakutusaidii i.e. haina maana kwamba historia itajirudia- sahau. Sipendi vita ila pia sipendi uonevu. Haki itatamalaki.
Hivi huna hata habari kwamba jana Serikali ya Merikani iliomba radhi Afrika Kusini kutokana na USA kusambaza taarifa za kizushi/Uongo kwamba Afrika Kusini inapeleka silaha za vita Urusi - kumbe taarifa hizo zilikuwa ni za kitunga tu zenye lengo la ki-draw a wedge between serikali za kibeberu na Afrika kusini.
 
Sikuiona hiyo taarifa. Tafadhali nipe link.
 
Back
Top Bottom