Russia yasema Makombora yaliyopelekwa na Uingereza Ukraine ni uchokozi na itachochea vita kusambaaa.

Russia yasema Makombora yaliyopelekwa na Uingereza Ukraine ni uchokozi na itachochea vita kusambaaa.

Kila wakati Mrusi anatishia kutumia Nyukilia. Na mashabiki wa humu wanaichukulia Marekani poa sana.

Yaani kila nchi ya NATO huwa kwanza inawasiliana na Marekani kabla ya kufanya mambo ya kijeshi halafu mtu anaichukulia US ni nchi dhaifu kijeshi.
Mtu ana Aircraft Carrier takribani 10. Ana ndege za kila aina.
 
let the caged bird sings umetoa hoja ya kufikirisha sana.

Ingawa upo tunduni tungo yako imeburudisha...

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ofkoz Russia na Putin walikuzwa kuliko uhalisia.

NATO wangeweza kumsapot Ukraine toka pale Putin alipoivamia Crimea. Waliamua kumuacha ili kumpa kichwa ajione yeye ni untouchable.

Putin aliposema kuwa atakayesaidia Ukraine atakutana na mkono wa chuma hakukosea kutoa ile kauli. Aliitoa akijua watu wote watamuogopa kama alivyotukuzwa. Hakujua wenzie wanamuacha tu, wanamtengeneza ili siku aingie kwenye 18.

Na tayari ameshaimeza ndoano, kuitema hawezi.
 
Juzi hapa USA ilikuwa inalamika kwamba mifumo yao ya kuongozea missiles na mabom yanaingiliwa sana ma EWS za Urusi mpaka karibu yote yanaishia kukosa shabaha na kuishia porini na mashamba ya ngano na soya beans - leo hii ndio maafisa wa jeshi la Uingereza wajifanye kwamba subsonic Cruise missiles zake zima uwezo wa ku-penetrate three defense layers za Russian air defense systems - yetu macho.
Sasa unabishana na ukweli au ? ,Una wazimu wewe ,
Muingereza unamuona kama burundi au ?
Unajua capability ya hizo missiles za muingereza ? Na hayo mapipa s400 pumbavu
 
Sikuwahi kufikiri Putin ni fala na mtu wa kulia lia, zamani kila movie wana act Russian mafia, Russian Mafia, Hakuna mafia Russia.
Na ukitaka kujua Putin Ni mpumbavu alishiriki kushawishi marekani ufaransa ujeruman na uingereza kuishawishi Ukraine kuangamiza silaha zake za nyukilia kwenye ghala lake kwa ahadi ya kuilinda. Kumbe Ni lisnichi Fulani hivi. Lengo lilikuwa Ukraine akishaangamiza silaha yeye avamie na ndicho alichokofanya. Ndiyo ujue hana uwezo wanaomsifia nao.
 
Waziri wa Ulinzi wa Urusi kasema kitendo cha Uingereza kupeleka makombora yake yenye uwezo wa kupiga umbali wa kilomita 250, ni kitendo kikubwa cha kichokozi na kinaweza kuchochea vita hiyo kusambaa.

Urusi imetishia kutumia kila njia kuzima jaribio lolote la kutumiwa makombora hayo yakiwa ndani ya Ardhi ya Ukraine.

Putin atapiga pale Westminster, near Buckingham Palace few days to come, itakuwa majivu
 
Sasa unabishana na ukweli au ? ,Una wazimu wewe ,
Muingereza unamuona kama burundi au ?
Unajua capability ya hizo missiles za muingereza ? Na hayo mapipa s400 pumbavu

Kwenye majibu yangu unaweza kuonyesha hata neno moja nililo watusi JF members!!! Sasa wewe mwenzetu tatizo lako ni nini??

FYI capabilities na weakness za Storms shodow Cruise missiles nazijuwa -husichukulie kila mtu/member kwamba ni average Joe - kwa leo naishia hapa
 
Na ukitaka kujua Putin Ni mpumbavu alishiriki kushawishi marekani ufaransa ujeruman na uingereza kuishawishi Ukraine kuangamiza silaha zake za nyukilia kwenye ghala lake kwa ahadi ya kuilinda. Kumbe Ni lisnichi Fulani hivi. Lengo lilikuwa Ukraine akishaangamiza silaha yeye avamie na ndicho alichokofanya. Ndiyo ujue hana uwezo wanaomsifia nao.
Tangu lini mtu mpubavu akawa na uwezo wa kushawoshi mataifa manne ya magharibi kukubaliana na hoja zake na zikatekelezwa???

Sasa swali: Kati ya hao watu/viongozi waù magharobi na Putin nani ni mpumbavu na nani ni mwelevu - jibu unalo.
 
Back
Top Bottom