Russia yasema Makombora yaliyopelekwa na Uingereza Ukraine ni uchokozi na itachochea vita kusambaaa.

Russia yasema Makombora yaliyopelekwa na Uingereza Ukraine ni uchokozi na itachochea vita kusambaaa.

warusi wa kwa mpalange wanaanza kuadimika.,tutaelewana tu taratibu, tuliwaambia tangu mwanzo anachofanya Putin ni udhalimu,na udhalimu haujawai kushinda..,kama marekani alivyofanya udhalimu kule Vietnam na kuishia kufukuzwa kama mbwa mwizi pamoja na teknolojia yote aliyokuwa nayo!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Jamaa wengi humu janvini ni mbulula Mambo ya dunia hawajui kabisa kazi kusikiliza bongo flavor tu zero brain.
 
let the caged bird sings umetoa hoja ya kufikirisha sana.

Ingawa upo tunduni tungo yako imeburudisha...

🤣🤣🤣🤣🤣
Sure, ninakuambia.
Wamarekani wanakasumba ya ku- trivialize sana Nchi yao hasa wakiwa wanajadiliana wao kwa wao kuhusu taifa lao. , uwa wanavimbia Utaifa wao pindi wanapokuwa nje ya mipaka ya nchi yao.
Akiwa bongo atajitahidi umjue kuwa nimmareakani ila wakiwa ndani ya nchi yao uififisha sana nchi yao.
Urusi ikidondoka leo kati ya Iran ama China kuna moja ataapandishwa kwenye Levo za Urusi na kuanzakuwa-hyped kuwa ni tishio na inapiga hatua kubwa kwa kasi kiuchumi ama kijeshi huku viongozi wa Nchi yao wakiwa wamejisahau.
Walifanya hivyo kwa Japan, wamefanya hivyo kwa Urusi the next ni Iran ama China.
 
Kila wakati Mrusi anatishia kutumia Nyukilia. Na mashabiki wa humu wanaichukulia Marekani poa sana.

Yaani kila nchi ya NATO huwa kwanza inawasiliana na Marekani kabla ya kufanya mambo ya kijeshi halafu mtu anaichukulia US ni nchi dhaifu kijeshi.
Nidhaifu Kwa sababu hawezi fanya bila mashoga wenzie.
 
Waziri wa Ulinzi wa Urusi kasema kitendo cha Uingereza kupeleka makombora yake yenye uwezo wa kupiga umbali wa kilomita 250, ni kitendo kikubwa cha kichokozi na kinaweza kuchochea vita hiyo kusambaa.

Urusi imetishia kila njia kuzima jaribio lolote la kutumiwa makombora hayo yakiwa ndani ya Ardhi ya Ukraine.
Yeye Ukraine kaletewa tu kiasi fulani lakini yy Urusi anayatengeneza kwa wingi na kuyahifadhi ili ayatumie anavotaka. i.e. ana kiwanda cha uzalishaji.
Mrusi ni mtu wa ajabu sana.
 
West wanapaswa kuwasikiliza wataalamu wanaosema njia ya kuimaliza hii vita mapema ni Ukraine kupewa silaha zote za masafa marefu inazozihtaji kwa mkupuo.
Sikubaliani na hilo kwani madhara yanaweza kuwa makubwa sana. Kinachoendelea ni sahihi - waende naye mdogo-mdogo hatua kwa hatua huku Ukraine akiendelea kuongeza Utaalam katika matumizi ya silaha za high-tech.
 
Sikuwahi kufikiri Putin ni fala na mtu wa kulia lia, zamani kila movie wana act Russian mafia, Russian Mafia, Hakuna mafia Russia.
Juzi hapa USA ilikuwa inalamika kwamba mifumo yao ya kuongozea missiles na mabom yanaingiliwa sana ma EWS za Urusi mpaka karibu yote yanaishia kukosa shabaha na kuishia porini na mashamba ya ngano na soya beans - leo hii ndio maafisa wa jeshi la Uingereza wajifanye kwamba subsonic Cruise missiles zake zima uwezo wa ku-penetrate three defense layers za Russian air defense systems - yetu macho.
 
Uongo

Hawsja
Kwa hiyo hana mpango tena wa kushambulia nchi inayotoa hizo silaha?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile

Hawajatishia lolote, hapo wanacho sema wanatumia logic kuzingumza vitu ambavyo mi too obvious, kwamba mkipeleka silaha za masafa marefu mtakuza mgogoro tu na Waukraine ku- suffer eve more lakini malengo ya Urusi kuhusu Ukraine yatabaki pale pale bila ya kujali USA/NATO watafanya nini - Dunia nzima hivi sasa inajuwa kwamba baadhi ya troops wa NATO including USA ndio wanao pigana huko Ukraine - Mrusi anawafanyia timing - mwisho wa siku atawapiga kipigo kikatatifu kuliko alicho wapiga jeshi la Hitler mid 1940s vile vile na jeshi la Napoleon Bonaparte kwenye 1812 kama sikosei - USA na washirika wake hata watoe misaada gani including wanajeshi hakuna taifa lolote linaweza kuishinda Urusi kwa hivi sasa, najua kuna watu wanaweza kuja na story kuhusu Japan ilivyo wahi kupigana na Russian Navy - tatizo pale aliluwa miya utawala wa Tzar Nicholas alikuwa mzembe sana.
 
Waziri wa Ulinzi wa Urusi kasema kitendo cha Uingereza kupeleka makombora yake yenye uwezo wa kupiga umbali wa kilomita 250, ni kitendo kikubwa cha kichokozi na kinaweza kuchochea vita hiyo kusambaa.

Urusi imetishia kila njia kuzima jaribio lolote la kutumiwa makombora hayo yakiwa ndani ya Ardhi ya Ukraine.
Mrusi hana tena mdomo ndaro zimeisha ameshikwa hadi masharubu sasa anatapatapa tu
 
Back
Top Bottom