Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,636
- 3,142
Asubirie mijegeje ifike imchomekeeMsemaji wa Kremlin kasema inachofanya Uingereza si uungwana!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asubirie mijegeje ifike imchomekeeMsemaji wa Kremlin kasema inachofanya Uingereza si uungwana!!
West hawataki hii vita iishe mapema wanataka Russia achoke Sanaa mpaka kiuchumi.West wanapaswa kuwasikiliza wataalamu wanaosema njia ya kuimaliza hii vita mapema ni Ukraine kupewa silaha zote za masafa marefu inazozihtaji kwa mkupuo.
Jamaa wengi humu janvini ni mbulula Mambo ya dunia hawajui kabisa kazi kusikiliza bongo flavor tu zero brain.warusi wa kwa mpalange wanaanza kuadimika.,tutaelewana tu taratibu, tuliwaambia tangu mwanzo anachofanya Putin ni udhalimu,na udhalimu haujawai kushinda..,kama marekani alivyofanya udhalimu kule Vietnam na kuishia kufukuzwa kama mbwa mwizi pamoja na teknolojia yote aliyokuwa nayo!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Uchumi wa Russia unazidi kuimalika siku hadi siku uwe unaangalia machapisho na vipeperushi vya uchumi duniani, siyo kuangalia picha za uchi mitandaoni.West hawataki hii vita iishe mapema wanataka Russia achoke Sanaa mpaka kiuchumi.
Sure, ninakuambia.let the caged bird sings umetoa hoja ya kufikirisha sana.
Ingawa upo tunduni tungo yako imeburudisha...
🤣🤣🤣🤣🤣
Nidhaifu Kwa sababu hawezi fanya bila mashoga wenzie.Kila wakati Mrusi anatishia kutumia Nyukilia. Na mashabiki wa humu wanaichukulia Marekani poa sana.
Yaani kila nchi ya NATO huwa kwanza inawasiliana na Marekani kabla ya kufanya mambo ya kijeshi halafu mtu anaichukulia US ni nchi dhaifu kijeshi.
Yeye Ukraine kaletewa tu kiasi fulani lakini yy Urusi anayatengeneza kwa wingi na kuyahifadhi ili ayatumie anavotaka. i.e. ana kiwanda cha uzalishaji.Waziri wa Ulinzi wa Urusi kasema kitendo cha Uingereza kupeleka makombora yake yenye uwezo wa kupiga umbali wa kilomita 250, ni kitendo kikubwa cha kichokozi na kinaweza kuchochea vita hiyo kusambaa.
Urusi imetishia kila njia kuzima jaribio lolote la kutumiwa makombora hayo yakiwa ndani ya Ardhi ya Ukraine.
Sikubaliani na hilo kwani madhara yanaweza kuwa makubwa sana. Kinachoendelea ni sahihi - waende naye mdogo-mdogo hatua kwa hatua huku Ukraine akiendelea kuongeza Utaalam katika matumizi ya silaha za high-tech.West wanapaswa kuwasikiliza wataalamu wanaosema njia ya kuimaliza hii vita mapema ni Ukraine kupewa silaha zote za masafa marefu inazozihtaji kwa mkupuo.
Juzi hapa USA ilikuwa inalamika kwamba mifumo yao ya kuongozea missiles na mabom yanaingiliwa sana ma EWS za Urusi mpaka karibu yote yanaishia kukosa shabaha na kuishia porini na mashamba ya ngano na soya beans - leo hii ndio maafisa wa jeshi la Uingereza wajifanye kwamba subsonic Cruise missiles zake zima uwezo wa ku-penetrate three defense layers za Russian air defense systems - yetu macho.Sikuwahi kufikiri Putin ni fala na mtu wa kulia lia, zamani kila movie wana act Russian mafia, Russian Mafia, Hakuna mafia Russia.
Juzi hapa USA ilikuwa inalamika kwamba mifumo yao ya kuongozea missiles na mabom yanaingiliwa sana ma EWS za Urusi mpaka karibu yote yanaishia kukosa shabaha na kuishia porini na mashamba ya ngano na soya beans - leo hii ndio maafisa wa jeshi la Uingereza wajifanye kwamba subsonic Cruise missiles zake zima uwezo wa ku-penetrate three defense layers za Russian air defense systems - yetu macho.
Kwa hiyo hana mpango tena wa kushambulia nchi inayotoa hizo silaha?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile
Mrusi hana tena mdomo ndaro zimeisha ameshikwa hadi masharubu sasa anatapatapa tuWaziri wa Ulinzi wa Urusi kasema kitendo cha Uingereza kupeleka makombora yake yenye uwezo wa kupiga umbali wa kilomita 250, ni kitendo kikubwa cha kichokozi na kinaweza kuchochea vita hiyo kusambaa.
Urusi imetishia kila njia kuzima jaribio lolote la kutumiwa makombora hayo yakiwa ndani ya Ardhi ya Ukraine.
Uingereza inaenda kutandikwa na Urusi kipigo cha mbwa koko..Russia aache uzembe, akomae apigane vita vyake...".kama huma nguvu usiwe kichaa"
Russians ni mafia ila wana huruma sanaSikuwahi kufikiri Putin ni fala na mtu wa kulia lia, zamani kila movie wana act Russian mafia, Russian Mafia, Hakuna mafia Russia.
Wewe ungeweza kufanya hivyo ?Kwa hiyo hana mpango tena wa kushambulia nchi inayotoa hizo silaha?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Afe?Wewe ungeweza kufanya hivyo ?
Huo ni uhalifu wa kivita.Asubirie mijegeje ifike imchomekee
Urusi atashituka asubuhiKila wakati Mrusi anatishia kutumia Nyukilia. Na mashabiki wa humu wanaichukulia Marekani poa sana.
Yaani kila nchi ya NATO huwa kwanza inawasiliana na Marekani kabla ya kufanya mambo ya kijeshi halafu mtu anaichukulia US ni nchi dhaifu kijeshi.