Russia yasema Makombora yaliyopelekwa na Uingereza Ukraine ni uchokozi na itachochea vita kusambaaa.

Russia yasema Makombora yaliyopelekwa na Uingereza Ukraine ni uchokozi na itachochea vita kusambaaa.

Urusi anapigana kwa tahadhari ya kulinda uchumi wake....
Putin anajua lengo la US na UE ni kuivuta vita kwa muda mrefu....
Naamini URUSI anaweza kuingia full lakini madhara ya uchumi ( Great damage)...
 
Yeye Ukraine kaletewa tu kiasi fulani lakini yy Urusi anayatengeneza kwa wingi na kuyahifadhi ili ayatumie anavotaka. i.e. ana kiwanda cha uzalishaji.
Mrusi ni mtu wa ajabu sana.
Yote hayo USA kakukolezea nawe umejaaa

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hawsja


Hawajatishia lolote, hapo wanacho sema wanatumia logic kuzingumza vitu ambavyo mi too obvious, kwamba mkipeleka silaha za masafa marefu mtakuza mgogoro tu na Waukraine ku- suffer eve more lakini malengo ya Urusi kuhusu Ukraine yatabaki pale pale bila ya kujali USA/NATO watafanya nini - Dunia nzima hivi sasa inajuwa kwamba baadhi ya troops wa NATO including USA ndio wanao pigana huko Ukraine - Mrusi anawafanyia timing - mwisho wa siku atawapiga kipigo kikatatifu kuliko alicho wapiga jeshi la Hitler mid 1940s vile vile na jeshi la Napoleon Bonaparte kwenye 1812 kama sikosei - USA na washirika wake hata watoe misaada gani including wanajeshi hakuna taifa lolote linaweza kuishinda Urusi kwa hivi sasa, najua kuna watu wanaweza kuja na story kuhusu Japan ilivyo wahi kupigana na Russian Navy - tatizo pale aliluwa miya utawala wa Tzar Nicholas alikuwa mzembe sana.
We jamaa hata sijakuelewa unataka kusema nini. Mbona huyo unayemsema anawafanyia timing ......ameomba msaada tena kwa aibu kubwa kutoka kwa Msauzi(South Africa)?? Inanishangaza unaposema troops wa NATO cjui USA n.k. n.k. ndio wanaopigana na Mrusi kana kwamba Ukrainian troops wamejipumzikia zao tu na unasahau kwamba huko upande mwingine (Rusia)wapo Wagners, Belarus, Chechen, Waafrika kutoka Namibia au Angola n.k. n.k. Je, hao wanafanya nini Ukraine na silaha zao?? Wanaigiza mchezo wa kuua WanaUkraine siyo?? Kututajia habari za miaka ya naintin kweusi...... huko hakutusaidii i.e. haina maana kwamba historia itajirudia- sahau. Sipendi vita ila pia sipendi uonevu. Haki itatamalaki.
 
Ofkoz Russia na Putin walikuzwa kuliko uhalisia.

NATO wangeweza kumsapot Ukraine toka pale Putin alipoivamia Crimea. Waliamua kumuacha ili kumpa kichwa ajione yeye ni untouchable.

Putin aliposema kuwa atakayesaidia Ukraine atakutana na mkono wa chuma hakukosea kutoa ile kauli. Aliitoa akijua watu wote watamuogopa kama alivyotukuzwa. Hakujua wenzie wanamuacha tu, wanamtengeneza ili siku aingie kwenye 18.

Na tayari ameshaimeza ndoano, kuitema hawezi.
Nikweli ila ukisema nato ni mataifa 30 ukisema urusi ni taifa moja. Hapo ndipo tunapompa heko mrusi. Mkiungana watu kumi kumpiga mtu mumoja hata mkishinda hamtoshangiliwa
 
Mbona ameshaanza kutapatapa hadi anabisha hodi kwa nchi za Afrika(SA) wakati wenyewe wanatusema eti ni nchi maskini au 3rd world countries??
We msubirie tu hivi punde utamsikia Mrusi akilia UUUUUiiiiiiii. Hapo ujue tayari kwisha habari yake.
Urusi ni mkombozi.
 
Nikweli ila ukisema nato ni mataifa 30 ukisema urusi ni taifa moja. Hapo ndipo tunapompa heko mrusi. Mkiungana watu kumi kumpiga mtu mumoja hata mkishinda hamtoshangiliwa
Mkuu; wengi wanaomzungumzia Urusi, esp.Pro-Urusi wanasahau na kusema Urusi anapigana kama ni taifa moja dhidi ya mataifa 30-40. Hawawaoni Wagners, Chechens, Belarus, Vikundi vya mauaji na wapiganaji kutoka Afrika (hata yule Mangi alikufa akipigana upande wa Mrusi) n.k. Wanasahau jinsi Mrusi anavyotumia mbinu tofauti-tofauti kulaghai vijana e.g. Free scholarships, Highly paid jobs in Moscow, Kununua wafungwa magerezani n.k. hilo wamelifumbia macho. Kama Mrusi ambaye aliaminika ni Taifa kubwa anafanya hayo, kwa nini Ukraine naye asijiongeze?? Tafakari. Ukraine hawezi kukubali kuitwa "a sitting duck" - never.
 
Kitendo cha Urusi kuivamia Ukraine kilikuwa ni kitendo cha dhulma, uonevu na ubabe. Kwa hali inayoendelea ya vita kwa sasa baina ya Urusi na Ukraine, Walimwengu watajifunza kutafuta njia bora zaidi ya kusuluhishana pale inapotokea kutofautiana badala ya kutunishiana misuli.
Putin is not a civilized fella. Anaamini kwenye mabavu
 
Back
Top Bottom