Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
If you liv in glass house dont throw stonesWaziri wa Ulinzi wa Urusi kasema kitendo cha Uingereza kupeleka makombora yake yenye uwezo wa kupiga umbali wa kilomita 250, ni kitendo kikubwa cha kichokozi na kinaweza kuchochea vita hiyo kusambaa.
Urusi imetishia kila njia kuzima jaribio lolote la kutumiwa makombora hayo yakiwa ndani ya Ardhi ya Ukraine.
Inaonekana itabidi atumie mifumo yake ya kujilinda nje ya maeneo iliyozoea kulinda.If you liv in glass house dont throw stones
Russia kila siku malalamiko.
Sasa kama Kremlin penyewe drone zilipiga akaishia lalamika Ukraine na Marekani na hajafanya kitu, wategemea nini?Inaonekana itabidi atumie mifumo yake ya kujilinda nje ya maeneo iliyozoea kulinda.
Kwa miaka mingi tumeaminishwa kwamba Russia ni dola hatari sana kivita, kiuchumi na kijasusi.....Sikuwahi kufikiri Putin ni fala na mtu wa kulia lia, zamani kila movie wana act Russian mafia, Russian Mafia, Hakuna mafia Russia.
Kwa miaka mingi tumeaminishwa kwamba Russia ni dola hatari sana kivita, kiuchumi na kijasusi.....
Kwa hiyo hana mpango tena wa kushambulia nchi inayotoa hizo silaha?Waziri wa Ulinzi wa Urusi kasema kitendo cha Uingereza kupeleka makombora yake yenye uwezo wa kupiga umbali wa kilomita 250, ni kitendo kikubwa cha kichokozi na kinaweza kuchochea vita hiyo kusambaa.
Urusi imetishia kila njia kuzima jaribio lolote la kutumiwa makombora hayo yakiwa ndani ya Ardhi ya Ukraine.
Msemaji wa Kremlin kasema inachofanya Uingereza si uungwana!!Kwa hiyo hana mpango tena wa kushambulia nchi inayotoa hizo silaha?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Waziri wa Ulinzi wa Urusi kasema kitendo cha Uingereza kupeleka makombora yake yenye uwezo wa kupiga umbali wa kilomita 250, ni kitendo kikubwa cha kichokozi na kinaweza kuchochea vita hiyo kusambaa.
Urusi imetishia kila njia kuzima jaribio lolote la kutumiwa makombora hayo yakiwa ndani ya Ardhi ya Ukraine.
Uwezi amin nikisema kuwa Urusi ilikuwa hyped na wamarekani wenyewe.Sikuwahi kufikiri Putin ni fala na mtu wa kulia lia, zamani kila movie wana act Russian mafia, Russian Mafia, Hakuna mafia Russia.
Anayeichukulia Us poa ni wale wanywa Alikasusu kijiweni huku wakijadili vita.Kila wakati Mrusi anatishia kutumia Nyukilia. Na mashabiki wa humu wanaichukulia Marekani poa sana.
Yaani kila nchi ya NATO huwa kwanza inawasiliana na Marekani kabla ya kufanya mambo ya kijeshi halafu mtu anaichukulia US ni nchi dhaifu kijeshi.