Russia yasema Makombora yaliyopelekwa na Uingereza Ukraine ni uchokozi na itachochea vita kusambaaa.

Urusi anapigana kwa tahadhari ya kulinda uchumi wake....
Putin anajua lengo la US na UE ni kuivuta vita kwa muda mrefu....
Naamini URUSI anaweza kuingia full lakini madhara ya uchumi ( Great damage)...
 
Yeye Ukraine kaletewa tu kiasi fulani lakini yy Urusi anayatengeneza kwa wingi na kuyahifadhi ili ayatumie anavotaka. i.e. ana kiwanda cha uzalishaji.
Mrusi ni mtu wa ajabu sana.
Yote hayo USA kakukolezea nawe umejaaa

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa hata sijakuelewa unataka kusema nini. Mbona huyo unayemsema anawafanyia timing ......ameomba msaada tena kwa aibu kubwa kutoka kwa Msauzi(South Africa)?? Inanishangaza unaposema troops wa NATO cjui USA n.k. n.k. ndio wanaopigana na Mrusi kana kwamba Ukrainian troops wamejipumzikia zao tu na unasahau kwamba huko upande mwingine (Rusia)wapo Wagners, Belarus, Chechen, Waafrika kutoka Namibia au Angola n.k. n.k. Je, hao wanafanya nini Ukraine na silaha zao?? Wanaigiza mchezo wa kuua WanaUkraine siyo?? Kututajia habari za miaka ya naintin kweusi...... huko hakutusaidii i.e. haina maana kwamba historia itajirudia- sahau. Sipendi vita ila pia sipendi uonevu. Haki itatamalaki.
 
Urusi atashituka asubuhi
Mbona ameshaanza kutapatapa hadi anabisha hodi kwa nchi za Afrika(SA) wakati wenyewe wanatusema eti ni nchi maskini au 3rd world countries??
We msubirie tu hivi punde utamsikia Mrusi akilia UUUUUiiiiiiii. Hapo ujue tayari kwisha habari yake.
 
Nikweli ila ukisema nato ni mataifa 30 ukisema urusi ni taifa moja. Hapo ndipo tunapompa heko mrusi. Mkiungana watu kumi kumpiga mtu mumoja hata mkishinda hamtoshangiliwa
 
Mbona ameshaanza kutapatapa hadi anabisha hodi kwa nchi za Afrika(SA) wakati wenyewe wanatusema eti ni nchi maskini au 3rd world countries??
We msubirie tu hivi punde utamsikia Mrusi akilia UUUUUiiiiiiii. Hapo ujue tayari kwisha habari yake.
Urusi ni mkombozi.
 
Nikweli ila ukisema nato ni mataifa 30 ukisema urusi ni taifa moja. Hapo ndipo tunapompa heko mrusi. Mkiungana watu kumi kumpiga mtu mumoja hata mkishinda hamtoshangiliwa
Mkuu; wengi wanaomzungumzia Urusi, esp.Pro-Urusi wanasahau na kusema Urusi anapigana kama ni taifa moja dhidi ya mataifa 30-40. Hawawaoni Wagners, Chechens, Belarus, Vikundi vya mauaji na wapiganaji kutoka Afrika (hata yule Mangi alikufa akipigana upande wa Mrusi) n.k. Wanasahau jinsi Mrusi anavyotumia mbinu tofauti-tofauti kulaghai vijana e.g. Free scholarships, Highly paid jobs in Moscow, Kununua wafungwa magerezani n.k. hilo wamelifumbia macho. Kama Mrusi ambaye aliaminika ni Taifa kubwa anafanya hayo, kwa nini Ukraine naye asijiongeze?? Tafakari. Ukraine hawezi kukubali kuitwa "a sitting duck" - never.
 
Putin is not a civilized fella. Anaamini kwenye mabavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…