Russia yasema Makombora yaliyopelekwa na Uingereza Ukraine ni uchokozi na itachochea vita kusambaaa.

Uchumi wa Russia unazidi kuimalika siku hadi siku uwe unaangalia machapisho na vipeperushi vya uchumi duniani, siyo kuangalia picha za uchi mitandaoni.
Endelea kujidanganya
 
Nchi ya kidemocrasia haiwezi toa wananchi wake na jeshi lake likapiganie vita ambayo haipo kiserekali, hyo ni Transparency, wenye uwezo wa kufanya hvyo ni minchi ya kidectator
 
Nchi ya kidemocrasia haiwezi toa wananchi wake na jeshi lake likapiganie vita ambayo haipo kiserekali, hyo ni Transparency, wenye uwezo wa kufanya hvyo ni minchi ya kidectator
Mbulula kweli America+ NATO walivyoshambulia Iraq, Libya, Afghanistan, Syria siyo nchi za kidemokrasia.
 
Hivi huna hata habari kwamba jana Serikali ya Merikani iliomba radhi Afrika Kusini kutokana na USA kusambaza taarifa za kizushi/Uongo kwamba Afrika Kusini inapeleka silaha za vita Urusi - kumbe taarifa hizo zilikuwa ni za kitunga tu zenye lengo la ki-draw a wedge between serikali za kibeberu na Afrika kusini.
 
Sikuiona hiyo taarifa. Tafadhali nipe link.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…