Weka ushahidi wacha propaganda weye.Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania
Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.
Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.
Ruto,Trump na Magufuli wana sifa moja ya kuwa watawala Kama ambavyo Kikwete, Uhuru na Obama walivyokuwa viongozi.
Hahahahaaaa tatizo Kenya, kihistoria ukabila bado utaendelea kuwasumbua sana. Wakikuyu au Wakalenjin ndo wameapa kuendelea kutoa Rais tu, na sio makabila yoyote mengine...na hasa hawataki kabisa kusikia Rais eti atoke kwa 'Jaluo'..... unfortunately that's the bitter truth' kwa nchi ya Kenya.Raila hakupangiwa kuwa Rais...
Ova.
Huyo ni mwanafunzi wa Moi.Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania
Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.
Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.
Ruto,Trump na Magufuli wana sifa moja ya kuwa watawala Kama ambavyo Kikwete, Uhuru na Obama walivyokuwa viongozi.
Umenifanya nicheke.Lakini wakenya walimpenda magufuli, naona watafurahi sana akiwa kama JPM
Nonsense.Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania
Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.
Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.
Ruto,Trump na Magufuli wana sifa moja ya kuwa watawala Kama ambavyo Kikwete, Uhuru na Obama walivyokuwa viongozi.
Unaona maluilui, halafu unadhani umeona lulu yenyewe?Kenya sio kama Tanzania.
Utawala wa sheria, Demokrasia,na separation of powers vipo juu sana.
Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania
Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.
Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.
Ruto,Trump na Magufuli wana sifa moja ya kuwa watawala Kama ambavyo Kikwete, Uhuru na Obama walivyokuwa viongozi.
Hilo fungu alilowapa judiciary isije kuwa anatoa asante kwa kushinda ile kesi yake.View attachment 2356136
Kuna mambo ambayo kila kiongozi hijipambanua nayo.
Ruto kuna namna kajinasibisha na JPM kwa kuchagua kundi la walalahoi ambao kawaita (husslers)
Kashughulikiwa bei ya mbolea kutoka sawa na TZS 125,800 mpaka 67,700. Hii itashusha gharama za uzalishaji wa mazao ya kilimo na kupelekea bai za unga kuwa nafuu kwa walio wengi.
Hili jambo lazima litawaudhi "wapigaji" kwenye mfumo wa mbolea na mengineyo.
Ruto kaanzisha wizara ya ushirika na SME, hapa akifanya kwa vitendo kwa kuipa wizara fedha itasisimua sana biashara ya kuchochea vijana wengi kuingia kwenye shughuli za uzalishaji, likewise itaongeza pato la serikali. It's very obvious mtu akiwa na fedha huwa anatumia, eventually serikali itaongeza tax base kwenye hili.
Ruto kajifananisha na JPM kwa kutaka liwezekano leo, lisingoje kesho; kama tume Mahakama ilishafanya kazi yake ya kupendekeza majaji, yeye katumia madaraka yake ya Urais kuwathibitisha na kutangaza kuapishwa kesho yake (ambayo ni leo)
Tuwape kongole jirani zetu 254, bila shaka wapepata mtu anaejali maisha ya watu wa kawaida. Huenda along the way akawa dikteta kama JPM, hapendi kuzungushwa kwa umangi meza na "michakato" na hapo ndipo wanaompinga asipokuwa mvumilivu atatumia nguvu.
Ila uzuri Kenya kuna namna katiba yao imetengeneza balance of power kwa kuwapa nguvu wasioridhika kwenda mahakamani.
Ruto alikwenda mahakamani kumpinga boss wake asiendelee na BBI na akafanikiwa. Wakenya wakiona anatoka kwenye mstari wanaweza kumpeleka mahakamani.
Tuwape kongole majirani kwa kuvuka kwenye uchaguzi na sasa wana rais mpya. Ruto ashughulikie haki za binadamu kwa kutaka polisi na vyombo vya usalama viwajibike kwenye udhibiti wa watu.
Jana kuna watu wamepigwa sana kwenye harakati za kuzuiliwa wasiingie ndani ya uwanja kushuhudia tukio la Rais wao mpya akiapishwa.
Nguvu ingetumika kuzuia pasi kutoa kipondo wa wananchi.
Jpm style of administration ndio inafaa kwa nchi zetu hizi changa zinazokua kiuchumi.View attachment 2356136

RAFIKI, HUJATOA SABABU LAKINI. VIGEZO/VIASHIRIA VIPI VINAKUPELEKA KUFIKIRI HIVYOKenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania
Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.
Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.
Ruto,Trump na Magufuli wana sifa moja ya kuwa watawala Kama ambavyo Kikwete, Uhuru na Obama walivyokuwa viongozi.
Magufuli alikuwa anajifanya kusali sana na kumtaja Mungu sana, muogoipe mtu wa namna hivyo. magufuli alitufuna mengi sana ya unafiki wa diniBado nampa benefit of doubt, anaonekana anavifahamu vizuri vifungu vya maandiko ya biblia, namsubiri atakapoanza majukumu yake, nione kama utawala wake utaendana na maandiko matakatifu aliyokuwa ana-quote kila anapozungumza/ tweet wakati wa kampeni zake.
Akienda kinyume na hapo, atakuwa anaenda kinyume na dhamira yake, hakika atastahili adhabu kali.
Ila walitaka kumpindua bahati General Mahamud Haji Mahamed akaokoa jahazi na kumpigania mzee MoiUmenifanya nicheke.
Hakika watampenda.
Wakenya hadi leo hawamsahau Moi, kwa hiyo siyo wageni sana kwa aina ya viongozi wa namna ile.
Kama ni hivyo basi Wakenya wamepata bonge moja la kiongoziAtakuwa dictator zaidi ya Magufuli. Nimesikiliza hotuba zake, naona viashiria vyote vya tabia za Magufuli. Wakenya watajuta kutomchagua Raila kwani ndio hasa baba wa demokrasia ya Kenya.
Kama atakwenda kwa style ya JPM nawaonea wivu wakenya.Kama ni hivyo basi Wakenya wamepata bonge moja la kiongozi