Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Nao watauliwa uliwa na kutekwa kweli? Ngoja tuoneHuyu Jamaa atawasaidia sana Wakenya Kama alivyotusaidia sisi Mjomba Magu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nao watauliwa uliwa na kutekwa kweli? Ngoja tuoneHuyu Jamaa atawasaidia sana Wakenya Kama alivyotusaidia sisi Mjomba Magu.
Sasa kwenye uchaguzi huu ulikuwa baina ya makabila gani!Hotuba ya makamu wake tu inaonyesha hawana sifa za uongozi. Wamejaa visasi na chuki zisizo na sababu. Muda utaongea ila Wakenya watajuta kuendekeza ukabila.
RUTO amekaa kwenye system muda mrefu. Hajapata URAIS kwa bahati anafahamu na wakenya wataenjoy utawala wa jamaa kwanza umemsikia Jana anasema yupo tayari kukosolewa kwenye media n.kKenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania
Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.
Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.
Ruto,Trump na Magufuli wana sifa moja ya kuwa watawala Kama ambavyo Kikwete, Uhuru na Obama walivyokuwa viongozi.
Atalambishwa udongo,mwambieni a control feelings..Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania
Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.
Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.
Ruto,Trump na Magufuli wana sifa moja ya kuwa watawala Kama ambavyo Kikwete, Uhuru na Obama walivyokuwa viongozi.
yaani kikwete na uhuru unawaona viongozi? wangekuwa viongozi wangegroom viongozi. mrithi wa kikwete ni huyohuyo magu unayemponda na mrithi wa uhuru ni ruto unayemponda.Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania
Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.
Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.
Ruto,Trump na Magufuli wana sifa moja ya kuwa watawala Kama ambavyo Kikwete, Uhuru na Obama walivyokuwa viongozi.
kwa katiba ile ya kenya, sahau hilo la kuja kuwa kama marehemu jiwe.Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania
Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.
Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.
Ruto,Trump na Magufuli wana sifa moja ya kuwa watawala Kama ambavyo Kikwete, Uhuru na Obama walivyokuwa viongozi.
Binafsi nishabiki wake tangu mwanzo ,ila naanza pata wasiwasi ,maana kuapishwa tu kaanza na Mambo mengi bila kujali why mtangulizi wake alisitaKenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania
Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.
Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.
Ruto,Trump na Magufuli wana sifa moja ya kuwa watawala Kama ambavyo Kikwete, Uhuru na Obama walivyokuwa viongozi.
Inawezekana wewe ni mmojawapo wa watu wasio na maadili mema ambao ndio hukumbatiwa na hao unaowaita viongozi wakati ndio watu walitengeneza mfumo wa wizi wa kutisha -acha awanyooshe wakenya ili makandokando yao nao yazimwe..Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania
Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.
Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.
Ruto,Trump na Magufuli wana sifa moja ya kuwa watawala Kama ambavyo Kikwete, Uhuru na Obama walivyokuwa viongozi.
Wakikuyu ambao ndio Ina wapiga kura wengi zaidi hawakumpa Kura Odinga maana Wana bifu natural na wajaluo. Yaani hawana sababu ya msingi ila chuki tu ya kikabila wakamnyima kura.Sasa kwenye uchaguzi huu ulikuwa baina ya makabila gani!
Vv
Kwa Kenya ilipofikia ni ngumu sana kwa Ruto kuongoza kama Magufuli, anyway time will tellAtakuwa dictator zaidi ya Magufuli. Nimesikiliza hotuba zake, naona viashiria vyote vya tabia za Magufuli. Wakenya watajuta kutomchagua Raila kwani ndio hasa baba wa demokrasia ya Kenya.
Mbona Wajaluo hawakumpa uhuru wala Ruto kura, hawa sio wakabila?Wakikuyu ambao ndio Ina wapiga kura wengi zaidi hawakumpa Kura Odinga maana Wana bifu natural na wajaluo. Yaani hawana sababu ya msingi ila chuki tu ya kikabila wakamnyima kura.
Hawa jamaa watajuta kwa ukabila wao.
Nilitamani kuzima tv wakt anaongea yule mzee rigathi ngoja tusubiri nn watakuja kufanya kwa pupaHotuba ya makamu wake tu inaonyesha hawana sifa za uongozi. Wamejaa visasi na chuki zisizo na sababu. Muda utaongea ila Wakenya watajuta kuendekeza ukabila.
RUTO na MAGU wote ni viongozi wa Awamu ya TANO, Kuna sifa baadhi watarandana.Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania
Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.
Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.
Ruto,Trump na Magufuli wana sifa moja ya kuwa watawala Kama ambavyo Kikwete, Uhuru na Obama walivyokuwa viongozi.
Wakikuyu ndio wengi so upande wanaochagua unapata almost 30% ya kura zote. So kama sio ukabila wa WAKIKUYU Raila angekua ikulu maana tukiwa wakweli tu hivi Rigathi na Ruto kwa ufisadi wote ule walifaa kuwa Viongozi?Mbona Wajaluo hawakumpa uhuru wala Ruto kura, hawa sio wakabila?
Nilimsikiliza huyo mwamba nikasema hapa hamna kitu.... full kujiliza na chuki iliyomkaba koo... nadhani watafunga na kuua sana.Hotuba ya makamu wake tu inaonyesha hawana sifa za uongozi. Wamejaa visasi na chuki zisizo na sababu. Muda utaongea ila Wakenya watajuta kuendekeza ukabila.
Huyo ni mwanafunzi wa Moi.
Kama unajuwa Moi alikuwa kiongozi wa aina gani, utajuwa Ruto atakavyokuwa katika uongozi (utawala) bwake.