Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Mwenendo wa kesi na maamuzi ni vitu tofutihahahahaha bro hizo hoja zote kuhusu servers zimedunda, forensic analysis imeonyesha hakukuwa na shida hata chief justice koome alisema hilo, wasubirie tu jumatatu wajaluo wenzake wa kisumu wachome mji wao
unawaelewa wazeee wa zamani? kama kweli wakikuyu wangekuwa wanamuheshimu uhuru ,Ruttto asingepata hata nusu ya alizopata huko mt kenya
Yule ni mwizi... humjui tu!! Ni magu wa 3Rutto is energetic bana kwamiaka 3 ya mwisho alitengwa kabisa, naamini ataipeleka kenya mbele ,yule mzee hata kwenye misa anasinzia? Raila project ya Uhuru ili aendelee kutawala through backdoor
Au walitaka atawale mwaka mmoja wamle kichwa makamu wake Martha karua achukue nchi wamuendeshe kwa remote control
4-3 au 5-2... kwa RuttoUNA AMINI WEWE SIO WANAVYOAMINI MAJAJI
Raila huyo huyo ambaye alijiunga na Kanu na kuwa katibu mkuu wake?Raila sio kipenzi changu mkuu. Nitakuwaje na mgombea wakati nipo Tanzania. Ila apewe credit kwa mageuzi ya kisiasa aliyoleta. Kutoka kesi ya uhaini miaka ya 80 mpaka kukaa kizuizini miaka Saba. Na baadae kupambania mfumo wa vyama vingi na kucheza mchezo ulioiondoa Kanu madarakani.
Kibaki mwenyewe aliwahi kukiri hadharani kuwa Raila ndio nguzo iloyoiondoa kanu madarakani
So Akawa Rais?😂😂
Alijua hakushinda ndio maana akagomea marudio, anajua hata mahakama ilipofuta ilikuwa sababu ya makosa ya kiufundi tu na sio kuwa aliibiwa kura, maana alizidiwa kwenye wabunge, magavana na maseneta na upande wa uhuru
Hata Jumatatu mahakama ikifuta uchaguzi ikasema urudiwe, Raila hatakubali urudiwe, atatoa masharti ya kijinga ili apate kisingizio cha kugoma vurugi zitokee apate tena handshake
7-04-3 au 5-2... kwa Rutto
Afadhali China ya xi jin pingYaani ni afadhali ya Uganda kwa Museveni? No ! Demokrasia ina changamoto zake lakini afadhali kuliko udikteta
inajulikana hiyo same kwa odinga mwenye mahoteli ya kifahari kila kona ya kenya na kachukua mabillions kwenye handshake, ni kazi gani atafanya Railla zaidi ya kutimiza ego yake ya kuwa president?Yule ni mwizi... humjui tu!! Ni magu wa 3
Raila huyo huyo ambaye alijiunga na Kanu na kuwa katibu mkuu wake?
BADALA ya Kwenda Mahakamani Kupinga TOZO mnashinda mnafustilia Kesi ya Uchaguzi ya Kenya ndio maana Wajinga ni wengi sana TanganyikaNaam ile nchi jirani iliyojipambanua kwamba ina majaji wenye akili timamu na judiciary yenye nguvu jumatatu inaweka historia nyingine kwa kuendesha kesi nzito ndani ya siku chache na kutoa maamuzi
Kesi hiyo ambayo kuna baadhi ya nchi majaji kama wangepewa waisikileze basi kila dakika wangekuwa kwenye simu kupata malekezo kutoka juu imekuwa na mvuto hadi katika nchi yenye matatizo ya kuibia watu bando la internet
Naam Baba Raila byebye kwishney , mtaalamu wako wa IT bwana Njoroge kakusaliti vibaya sana ka mislead ma lawyers haswa miss soweto wakajichoresha mahakamani,Ruto hatari sana
View attachment 2343408View attachment 2343409View attachment 2343410
Sasa kwani China ipo Africa? Linganisha nchi za Afrika kwa nchi za Afrika,
Kuna ile Clip ya Uhuru anasemaga mzee ya kitendawili kila uchaguzi yeye analia kuibiwa kura tu. Sasa kama wewe kila mara unaibiwa kura yako nani ako na shida wajameni! Si diyo kusema wewe uko na shida!! Mzee amepigwa tena! Duh, Ila lawyers wa Kenya wako vizuri aisee huwezi linganisha na hizi za kwetu hapa ukimwacha Kibatala.Hustler anaapishwa tarehe 13....huyo Mganga hana watu wa mikakati na washauri wazuri linapokuja suala la kushinda uchaguzi...
Raila hajui kushinda uchaguzi ni mikakati...alidhani deep state itaagiza atangazwe hata asiposhinda...imekula kwake...aende Bondo apumzike sasa
Wewe unayekomaa kupinga tozo nani amekusikiliza huko juu umbwa wewe?BADALA ya Kwenda Mahakamani Kupinga TOZO mnashinda mnafustilia Kesi ya Uchaguzi ya Kenya ndio maana Wajinga ni wengi sana Tanganyika
Sasa si alijiunga na Kanu lakini? Alijiondoa baada ya Moi kumteua Uhuru, angemteua yeye angeendelea kuwa KanuUnaelewa jinsi kanu ilivyotoka madarakani? Tena Raila alipojiunga na Kanu ilibadilika jina ikaitwa New Kanu. Wanatengeneza serikali ya Umoja wa kitaifa. Baadae Raila akaondoka na vigogo wengi wa Kanu akina Saitoti, kalonzo, maitha, moody awori, etc kwenda kuungana na NARC ya Kibaki na Kijana wamalwa.
New Kanu ikabaki na akina Rutto na Kenyatta.
Sasa si alijiunga na Kanu lakini? Alijiondoa baada ya Moi kumteua Uhuru, angemteua yeye angeendelea kuwa Kanu
Itapendeza Ruto akishindaNaam ile nchi jirani iliyojipambanua kwamba ina majaji wenye akili timamu na judiciary yenye nguvu jumatatu inaweka historia nyingine kwa kuendesha kesi nzito ndani ya siku chache na kutoa maamuzi
Kesi hiyo ambayo kuna baadhi ya nchi majaji kama wangepewa waisikileze basi kila dakika wangekuwa kwenye simu kupata malekezo kutoka juu imekuwa na mvuto hadi katika nchi yenye matatizo ya kuibia watu bando la internet
Naam Baba Raila byebye kwishney , mtaalamu wako wa IT bwana Njoroge kakusaliti vibaya sana ka mislead ma lawyers haswa miss soweto wakajichoresha mahakamani,Ruto hatari sana
View attachment 2343408View attachment 2343409View attachment 2343410
Hii sasa ni ramli chonganishi!Then usidanganye, turn out ya Wakikuyu ilikua ndogo otherwise asingeshinda kwa gap ya 0.4%!!
Then Raila kapata kura za Wakikuyu kuliko chaguzi zote combined hivi ni lini Odinga angepata kura zote zile Nakuru au Kiambu?
Wewe kweli njaakaliinajulikana hiyo same kwa odinga mwenye mahoteli ya kifahari kila kona ya kenya na kachukua mabillions kwenye handshake, ni kazi gani atafanya Railla zaidi ya kutimiza ego yake ya kuwa president?
watamuua tu within few months wamuweke puppet mwanamke achezeshwe kwa remote control
Hivi ile form 34A walionesha kwamba Mvenezuela aliingilia server ya IEBC ilijibiwaje?Hiyo ndiyo sehemu pekee kenya iatakapotokea vurugu jumatatu baada ya Mungu wao raila kupigwa chini sababu kesi imeisha hakuna evidence yoyote ya maana waliyowasilisha ni vituko