Ruto kuvunja baraza la mawaziri lakini bado kinachoendelea kenya kufanya mauwaji kimya kimya kwa vijana gen-z

Ruto kuvunja baraza la mawaziri lakini bado kinachoendelea kenya kufanya mauwaji kimya kimya kwa vijana gen-z

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Vijana wa gen-z wanazidi kuuliwa kwa kasi huko kenya japo maandamano kupungua na ruto kukubari kuvunja baraza la mawaziri.
ila idara inayomlinda inaonekana kudili na wote walionekana kuwa mwiba kwa ruto.
Miili ya watoto inazidi kuokwota uko kenya picha zinatisha ila kinacho onyesha ruto hata aseme pesa bure watu hawa mtaki
GSRzXfDWwAAglmm.jpg

GSRzXkLWoAA65L2.jpg

Screenshot 2024-07-12 132301.png
GSV5wkRXsAAGCVJ.jpg
GSWfkvCXEAAJ-HH.jpg
 
Vijana wa gen-z wanazidi kuuliwa kwa kasi huko kenya japo maandamano kupungua na ruto kukubari kuvunja baraza la mawaziri.
ila idara inayomlinda inaonekana kudili na wote walionekana kuwa mwiba kwa ruto.
Miili ya watoto inazidi kuokwota uko kenya picha zinatisha ila kinacho onyesha ruto hata aseme pesa bure watu hawa mtaki
View attachment 3040286
View attachment 3040287
View attachment 3040288
Kwa kitendo hicho Cha kuendelea na Mauaji ya kimya kimya Ruto atakuwa anajisafishia niia ya kurudi Tena kwa Mara ya Pili huko The Hague kwenye Mahakama ya ICC
 
Ruto ni mtu mkatiri sana tangu mwanzo hata Mashahidi wote waliokuwa wanatoa taarifa zake the Hague walikufa vifo vya ajabu ajabu wote wakaisha...Pamoja na Kenya kujitambua na kujipambania lakini wanauliwa sana na Serikali au magenge mengine mengi yako kule..Imagine wangekua hawajitambui wala kujipigania ingekua balaa kubwa zaidi.,,,,
 
Inasikitisha. Si ajabu ruto hausiki anatengenezewa zengwe. Pona yake wapatikane hao wauaji
Hata kama si yeye, kwa nafasi yake yeye anakuwa suspect kama fisi aliyekutwa na mzoga wa mbuzi aliyepotea bandani. Haitajalisha nani alimtoa bandani.
 
Viongozi wa Kenya ni makatili. Uhuru naye alikuwa anahusishwa na genge katili sana ya Mungiki. Ikumbukwe Ruto na Uhuru walikuwa maswahiba. Kimsingi Kenya kuna ukatili wa kutisha.
 
Back
Top Bottom