Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Kwa kitendo hicho Cha kuendelea na Mauaji ya kimya kimya Ruto atakuwa anajisafishia niia ya kurudi Tena kwa Mara ya Pili huko The Hague kwenye Mahakama ya ICCVijana wa gen-z wanazidi kuuliwa kwa kasi huko kenya japo maandamano kupungua na ruto kukubari kuvunja baraza la mawaziri.
ila idara inayomlinda inaonekana kudili na wote walionekana kuwa mwiba kwa ruto.
Miili ya watoto inazidi kuokwota uko kenya picha zinatisha ila kinacho onyesha ruto hata aseme pesa bure watu hawa mtaki
View attachment 3040286
View attachment 3040287
View attachment 3040288
Hata kama si yeye, kwa nafasi yake yeye anakuwa suspect kama fisi aliyekutwa na mzoga wa mbuzi aliyepotea bandani. Haitajalisha nani alimtoa bandani.Inasikitisha. Si ajabu ruto hausiki anatengenezewa zengwe. Pona yake wapatikane hao wauaji
Kuzidi Tozonia.Viongozi wa Kenya ni makatili. Uhuru naye alikuwa anahusishwa na genge katili sana ya Mungiki. Ikumbukwe Ruto na Uhuru walikuwa maswahiba. Kimsingi Kenya kuna ukatili wa kutisha.